Sasa watu waache kufanya maendeleo kisa nyerere hajafanya? nyerere aliwekeza kwenye mambo ya ukombozi na vita, ndio maana taifa likawa maskini hadi leo, Magufuri alikuja na kujenga miundombinu,kama hospital huko Musoma kuna hospital ilikuwa imeshindikana imekuja kumaliziwa na Magufuri,hatuwezi kuiga nyerere kila kitu
 
Legacy kubwa ya Magufuli aliyoaiacha na itakumbukwa kwa vizazi vingi ni kuwa Rais wa nchi akiwa ni mgonjwa wa akili.
Hiii ni legacy ya pekee sana maana vichaa wengi huishia barabarani lakini yeye kaishia ikulu,what a legacy!
Hiyo yako tu.
 
Pole chadema inakunyima raha kweli

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Wacha kuandika pumba hapa. Magufuli alikuwa anaoenda miradi ya ujenzi kwa vile ilikuwa ndiyo njia yake kubwa ya kuiba hela.
 
Wacha kuandika pumba hapa. Magufuli alikuwa anaoenda miradi ya ujenzi kwa vile ilikuwa ndiyo njia yake kubwa ya kuiba hela.
Sasa ni yupi mwema,huyu kachua pesa za nchi kawekeza kwenye ukombozi na vita,kitu ambacho kilikuwa ni kutafuta sifa,mwingine kajenga miundombinu kama hospital,barabara,shule vyote vipo, sanasana wabaya wake wanasema kajenga uwanja wa ndege chato,utafikiri chato ni Burundi,kwani Magufuri kujenga uwanja wa ndege chato kuna ubaya upi,wakati uwanja hupo?
 
Wapi nimesema kuna mtu ataishi milele? Hapa nazungumzia adhabu ya mtenda maovu baada ya kufa. Tumia akili badala ya kinyeo kufikiri.
🀣🀣🀣🀣 Wachumia tumbo bana... Mshajipa uMungu sasa. Mnaamza kutoa na adhabu kabisa.... Aiseee (hapa ngoja nisikitike kidogo) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wacha kuandika pumba hapa. Magufuli alikuwa anaoenda miradi ya ujenzi kwa vile ilikuwa ndiyo njia yake kubwa ya kuiba hela.
Ulitaka awe shoziniga kama mama yenu anavofanya siku hizi???😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…