Ndo hizo sheria atafata za kikristu maana ameamua kuhamia huko . Hatafata tena mila maana ukristu hauna mila. Na mila zotr potofu zinapingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu mwenyewe si awaue? Kwani hawaoni? Tuue halafu mwisho wa siku akatuchome moto.
Halafu hilo bandiko walikuwa wanaambiwa walawi sio sie wasukuma
AMRI YA NANE YA MUNGU, USIUE.Bible hairuhusu kuuana
Kifungu cha154 Cha kanuni ya adhabu kinaeleza wazi juu ya kosa Hilo hatuhitaji kutunga sheria ndiyo maana Mtwara wiki iliyopita Mtu kala Mvua 30Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
"Wanastahili kifo"Sasa kwenye hizo sheria za kikristo, kwenye agano jipya hakuna sheria inayomkataza
Msikilize Paulo anavyosema
Paulo:
Hebu tuangalie Warumi 1:20-32 (kutoka Agano Jipya) “
20. Kwa maana tangu kuumbwa kwa ulimwengu sifa za Mungu zisizoonekana, yaani, uweza wake wa milele na asili yake ya Uungu, zimeonekana waziwazi, zikifahamika kwa yale yaliyotangulia. kufanywa, ili wanaume wasiwe na udhuru.
21. Maana, ijapokuwa walimjua Mungu, hawakumtukuza kama Mungu wala hawakumshukuru; bali mawazo yao yalikuwa ubatili na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
22. Ijapokuwa walidai kuwa wenye hekima, wakawa wapumbavu
23. wakaubadili utukufu wa Mungu asiyeweza kufa kwa sanamu zilizofanywa kufanana na binadamu ambaye hufa, na ndege, na wanyama, na viumbe vitambaavyo.
24. Kwa hiyo Mungu aliwaacha katika tamaa mbaya za mioyo yao wafuate uchafu, na kufanyiana aibu miili yao.
25. Waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakaabudu na kuabudu kiumbe badala ya Muumba anayesifiwa milele. Amina.
26. Kwa sababu hiyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao walibadilisha mahusiano ya asili kwa yale yasiyo ya asili.
27. Vivyo hivyo wanaume nao waliacha mahusiano ya asili na wanawake na wakawaka tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanya machafu na watu wengine, na wakapata katika nafsi zao malipo ya upotovu wao.
28. Tena, kwa kuwa hawakuona inafaa kuwa na elimu ya Mungu, aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyopasa.
29. Wamejawa na kila aina ya uovu, uovu, uchoyo na upotovu. Wamejaa wivu, uuaji, ugomvi, hila na uovu. Wao ni masengenyo,
30. wasingiziaji, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kiburi, wenye majivuno; wanabuni njia za kutenda maovu; hawawatii wazazi wao;
31. ni wapumbavu, wasio na imani, wasio na moyo, wasio na huruma.
32. Ijapokuwa wanaijua amri ya haki ya Mungu kwamba wale wafanyao mambo kama hayo wanastahili kifo, wao si tu kwamba wanaendelea kufanya mambo hayohayo, bali pia wanakubali wale wayatendao.
Tunajipaga stress zisizotuhusu 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahhahahaa, mambo mengi muda mchache. Ni kweli nimekumbuka, huu ni WARAKA KWA WALAWI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WALAWI wamalizane huko wenyewe. Sisi watanganyika tuna sheria zetu.
"Wanastahili kifo"
Wamesema nani awaue?
Sasa siku zote hizo nyie mnaoamini biblia kwanini hamtekelezi?Kill Homosexuals
“If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives.” (Leviticus 20:13 NAB)
Sasa siku zote hizo nyie mnaoamini biblia kwanini hamtekelezi?
SiaminiKwani wewe huiamini ??
Kasome Quran au Bible then uje tuongeeKuuwa watu nayo ni laana sijui kama kuna imani inayo ruhusu watu kuuana
Yaani unamshangaa mtu mmoja ambae hatuna uhakika kama hajaathiriwa au laa (kisaikolojia) na mikimbizano ya mwaka 2020 na unashindwa kuishangaa serikali yako?Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.
===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.
Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Binafsi naona aliyeyesema tufuate agano jipya sijui alitutakia nn binadamuKasome Quran au Bible then uje tuongee
Na wazinzi mpigwe mawe hadi mfe,Kill Homosexuals
“If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives.” (Leviticus 20:13 NAB)
Mtu mume akilala na mwanamume kama na mwanamke, wote wawili watauawa kwa ajili ya tendo lao la kuchukiza; wamepoteza maisha yao.” (Mambo ya Walawi 20:13
Hawezi kuthubutu kuuweka.Na wazinzi mpigwe mawe hadi mfe,
Hebu tuwekee mstari wake
Hahaha hamtaki stori kabisa Wakuu
Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu