Nyani Ngabukumkoma nyani giladi
Walikuwa wanamtukana Magufuli kwamba ndo kawapeleka bungeni wakati ni MwenyekitiLema ana akili sana, hii ni hoja ya msingi.
Hakuna anayeweza kukipenda chama kuliko mkewe.
Ndio maana huwa nasema Mbowe katudhalilisha sana, hayo tulikuwa tunasema sisi!Walikuwa wanamtukana Magufuli kwamba ndo kawapeleka bungeni wakati ni Mwenyekiti
Kwani tulipokuwa tunasema mbona mlitutikqna.Ila kwa hili Kigaila and Co walifanya CDM kuwa kijiwe cha maokoto😀
Na akaongeza kwamba waume zao ndiyo wanaoandaa documents za kupeleka mahakamani wakati wa kesi ambazo chama kimefunguliwa na hao wake zao eti wakidai wakiwa nyumbani hawazungumzii masuala ya siasa.Ndio maana huwa nasema Mbowe katudhalilisha sana, hayo tulikuwa tunasema sisi!
Lema kaamua kumuumbua mbowe mazima na hili ndilo limemfanya asepe ili akapige spana vyema