LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

Kila jambo lina nyakati zake! Huu ndio wakati sahihi wa kufunua kila jiwe
As a man of principle unasemea ubaya unapotokea sio unapoona mambo yanaanza kwenda kombo, kwa kufanya hivyo ni kuwa opportunist..., Na watu wa hivi mkiwa mnazama kwenye Jahazi kama linavuja ndio huwa wanawahi maboya na kusepa badala ya kusaidia kuondoa maji... i.e. hawapo hapo kuokoa jahazi bali ni self serving...
 
Maisha sio marahisi hivyo
Ndo maana tunaambiwa tuwe na vifua kama wanaume kuna mambo mengi ya hovyo tunaona na tunayemezea ndo ubinadamu

Ukiwa mkweli wa kila jambo utakua na maisha magumu sana na utajikuta hata marafiki huna binadamu wanamapungufu mda mwingine inabidi uwe mnafki ili uishi vizuri na watu
 
Nashauri uchaguzi uwe kila Mwaka ku amengi sana yako chaman hatuyajui
 
Asiyekubaliana nasi atafute pa kwenda wametukuta kwa chama wakioni wamefika kituoni mwao washuke maneno mengi ya nini tutajenga timu mpya vijana wapya wapo katika mafunzo kuchukua nafasi achwa
 
Maisha sio marahisi hivyo
Nani kasema maisha ni marahisi
Ndo maana tunaambiwa tuwe na vifua kama wanaume kuna mambo mengi ya hovyo tunaona na tunayemezea ndo ubinadamu
Kukemea mambo ambayo unaona hayapo sawa ndio kuwa a man of principle kubadilika kulingana na wakati na kuwa flip flopper, kulingana na wakati au for self serving purposes ndio unafiki wenyewe au lack of principles..., Unaweza kubadilisha misimamo au kubadilika iwapo mazingira yamebadilika, lakini huwezi kusema unalisema baya leo lililotokea jana wakati ulifahamu kabisa kwamba ni baya lakini leo ndio umepata opportunity / convience ya kulitumia jambo hilo kama turufu ya kisiasa.. (Hizo sio principles bali ni self serving tendencies) ingawa kwa hilo wala sishangai ndio wanasiasa tabia zao....
Ukiwa mkweli wa kila jambo utakua na maisha magumu sana na utajikuta hata marafiki huna binadamu wanamapungufu mda mwingine inabidi uwe mnafki ili uishi vizuri na watu
Sio lazima uongee kila jambo ila unaweza ukajitenga na jambo fulani au ukaamua kutoshiriki na watu fulani kutokana na misimamo ambayo unaona haifai.., huwezi kukaa na watu wanaokula nyama za watu alafu ukakaa kimya wakati jamii inaendelea kuliwa..., alafu baada ya muda ingawa na wewe ulikuwa unashiriki na hilo genge uanze kusema wale jamaa walikuwa wabaya sana wanakula watu, na mimi nilichukizwa sana (sasa why now after the fact wakati ulikuwa na uwezo wa kusema at that instant) ? Tena bora ungekuja kwa kuomba msamaha kwa kushiriki katika hayo mambo na sio kuleta finger pointing kama vile ni leo ndio umegundua hayo...

  • Nzuri
Reactions: Tui
YAAN WALE WABUNGE WANATUULIA MAMA ZETUU MUNGU ANAWAONAA
 
Back
Top Bottom