Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya kumkoma nyani giladi ni nini mkuu?Lemma kaamua kumkoma nyani giladi tu. Safi sana,Mbowe amewafanya watu wajinga sana.
Wabunge 19 kua bungeni ni mradi wa Mbowe.Mangi leo anakiwasha 😹
Atoe yote asiache siri hata moja..!!
Kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumuua nyani usimuangaliae usoni maana kiasi fulani nyani wamefanana na binadamu sasa ukimuangalia usoni utaona huruma unaona kama unaua binadamu mwenzako. Ishu ya wabunge 19 ina mkono wa Mbowe hilo halina ubishi tena. Maneno aliyosema leo Lemma kwa mtu ambaye alikuwa mtu wake wa karibu almost ndugu ilihitaji kweli ujasiri.Maana ya kumkoma nyani giladi ni nini mkuu?
Niliwahi kusikia hili neno kwa ngoma moja ja Professor J na pia kwa kingwendu alisema ana ngumi yake moja inaitwa kumkoma nyani giladi.
Tukirudi kwenye mada, wabunge 19 kua bungeni ni mradi wa Mbowe, hilo liko wazi.
Inauma sana hii!! JPM amesingiziwa mengi mabaya na hawa mbwa vibaraka!!Walikuwa wanamtukana Magufuli kwamba ndo kawapeleka bungeni wakati ni Mwenyekiti
Hapo mkuu nimekupata vyema. Nimeongeza maarifa.Kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumuua nyani usimuangaliae usoni maana kiasi fulani nyani wamefanana na binadamu sasa ukimuangalia usoni utaona huruma unaona kama unaua binadamu mwenzako. Ishu ya wabunge 19 ina mkono wa Mbowe hilo halina ubishi tena. Maneno aliyosema leo Lemma kwa mtu ambaye alikuwa mtu wake wa karibu almost ndugu ilihitaji kweli ujasiri.
Wapewe chama wakivusheLema ni kama Lisu ni wa kweli,wenye hofu ya Mungu na waadilifu.
Kila jambo lina nyakati zake! Huu ndio wakati sahihi wa kufunua kila jiweHizi habari amezigundua leo ? Au kwanini hakitwambia Kabla ? Ukishawaelewa Politicians nadhani utakuwa haushangazwi na lolote wanalosema.., It's all about Convenience...
ni SHETANI MKUBWA JICHO BOVUMbowe sio mtu kabisa.