Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Ushawishi wa magufuli upo ila Mbowe pia anahusika na hiyo diliWalikuwa wanamtukana Magufuli kwamba ndo kawapeleka bungeni wakati ni Mwenyekiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawishi wa magufuli upo ila Mbowe pia anahusika na hiyo diliWalikuwa wanamtukana Magufuli kwamba ndo kawapeleka bungeni wakati ni Mwenyekiti
Hiyo akili imemrudia sasa hivi?Alikuwa wapi muda wote kusema anayosema sasa hivi?Au alikuwa hajui ni wake zao?Mpaka wanamaliza muda wao wa ubunge ndio anakurupuka.Halafu kuna nyumbu inamsifia eti ana akili sana.Miujiza.Lema ana akili sana, hii ni hoja ya msingi.
Hakuna anayeweza kukipenda chama kuliko mkewe.
Tena alikuwa mke wa mtuMke wa kigaira. Sio ?
Kwa hiyo miaka yote waliyokuwa wanafanya kazi chini ya Mbowe walikuwa hawana akili?Wabunge 19 kua bungeni ni mradi wa Mbowe.
Hakuna mwenye akili timamu anaweza kufanya kazi chini ya Mbowe, hakuna.
Hamna adabu.Mnapelekewshwa tu.Lema leo kawa msema kweli baada ya kuwa bubu wa kusingizia Covid 19 kumbe ugonjwa mlianza wenyewe.Mzee Mbowe ametukosea sana Watz
Itabidi aje public aombe msamaha
Tumegombana na marafiki, ndugu kwa ajili ya kuitetea cdm kumbe mwenyekiti anatung'ong'a
Pascal Mayalla unaitwa huku ebu pandisha ule uzi kuhusu covid 19.Kwani tulipokuwa tunasema mbona mlitutikqna.
Mpaka Pasco Mayalla alileta uzi kabisa kuhusu hilo
Mkuu siasa haina adui wala rafiki wa kudum na kwa taarifa tu usimwamini mwanasiasa au mwanaharakati. Hao wote ni baba 1 mama tofautiAs a man of principle unasemea ubaya unapotokea sio unapoona mambo yanaanza kwenda kombo, kwa kufanya hivyo ni kuwa opportunist..., Na watu wa hivi mkiwa mnazama kwenye Jahazi kama linavuja ndio huwa wanawahi maboya na kusepa badala ya kusaidia kuondoa maji... i.e. hawapo hapo kuokoa jahazi bali ni self serving...
Kwani alichosema ni uongo? Mbona kasema aliwaambie wake wajihudhuru hujasikia?Hizi habari amezigundua leo ? Au kwanini hakutwambia Kabla ? Ukishawaelewa Politicians nadhani utakuwa haushangazwi na lolote wanalosema.., It's all about Convenience...
Bundi katua Chadema ....“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzuru msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”
“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema
View attachment 3201877
duh 。。 。!。“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzuru msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”
“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema
View attachment 3201877
Mimi naweza.Lema ana akili sana, hii ni hoja ya msingi.
Hakuna anayeweza kukipenda chama kuliko mkewe.