LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

Issue sio authenticity ya anachokisema ukizingatia anakisema / hakukisema wakati gani.., Unaweza ukasema ukweli ila mazingira yakakufanya ukawa tu kama Yuda (Hata kwenye Story, Yuda alivyombusu Yesu, ni kweli yule alikuwa ni Yesu), ingawa mazingira ndio yanapelekea leo hii akumbukwe either fondly au badly...
Wakati kwa kukilinda chama alisema kwenye vikao vya ndani. Hakusikilizwa sasa anashitaki kwa umma yaani wapiga kura wao.
 
“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema

Ktk hili nimemuona kwa henry kilewo..
Target zake zote mkewe mozaally awe kiti maalumu na iwapo cdm itapata wabunge mkewe hawezi kukosa kwenye list
 
Jana or juzi wakati Lema katangaza kuongea na vyombo vya habari, watu tulikua tunabashiri atakacho kisema Lema, wengine wakawa wanadai atamuunga mkono Mmachame mwenzie na mimi nilisema, "Hakuna MCHA MUNGU atakae muunga mkono Mbowe kwa uchaguzi hu, hakuna mcha Mungu anaweza kuiunga mkono ccm, nasema Mcha Mungu, sio mwana DINI"
Mcha Mungu ni mtu wa haki, mcha Mungu hawezi kua mnafiki, wana dini na viongozi wao ni WANAFIKI sana, shetani akasome.
 
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzuru msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”

“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema

View attachment 3201877
Huyu jamaa anaongeaga ukweli siku zote.
Ingawa ni chadema ila huwa namkubali kichwani ana madini
 
Na akaongeza kwamba waume zao ndiyo wanaoandaa documents za kupeleka mahakamani wakati wa kesi ambazo chama kimefunguliwa na hao wake zao eti wakidai wakiwa nyumbani hawazungumzii masuala ya siasa.
Lemma amefanya jambo la kijasiri sana ila ajiangalie Mbowe lazima atalipiza kisasi na kwa sasa anapata support ya Samia 100%
 
Issue sio authenticity ya anachokisema ukizingatia anakisema / hakukisema wakati gani.., Unaweza ukasema ukweli ila mazingira yakakufanya ukawa tu kama Yuda (Hata kwenye Story, Yuda alivyombusu Yesu, ni kweli yule alikuwa ni Yesu), ingawa mazingira ndio yanapelekea leo hii akumbukwe either fondly au badly...
Huna hoja upuuzwe
 
Mbowe, mzee wa madhabahu ya Usharika, ambae husimama kanisani na kusema Ndugai ni Dictator, Ndugai amewaapisha covid19 bila idhini ya Chadema, ohhhh, bonge la nafiki of all time Tanzania.

Mara itasikia anawaitia wenzie maaskofu na mashehe kwenda kufanya fake suluhisho, what is man? Mtu mchafu utamjua tu, sio kila mtu asemaye mungu mungu anamanisha.
 
Kwa
Mzee Mbowe ametukosea sana Watz
Itabidi aje public aombe msamaha

Tumegombana na marafiki, ndugu kwa ajili ya kuitetea cdm kumbe mwenyekiti anatung'ong'a
Hiyo toka mwanzo hamkujua hili? Mbona ilikuwa wazi wakina mdee walikuwa na baraka zote za viongozi na wao walisema moja kwa moja. Pia hili la wake za viongoiz kuwa miongoni mwa wale 19 lilikuwa wazi na lilisemwa.

Kama kweli wewe ni mwanachadema basi mtakuwa mna matatizo makubwa kutokujua na kutohoji haya yote mapema.
 
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzuru msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”

“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema

View attachment 3201877
Lema ni mnafiki haya tulishayasema kitambo hata yeye alishiriki uovu!
 
tunaomba uchaguzi uwe laivu..... Wakati wa kujinadi mbowe tusikie na pia tumskilize LISU
 
WEnzake walikua wanapiga harakati kumbe mjuba kwa chini chini ana uza kambi kwa hadui
Hoja za Lema ni za kitoto kabisa, Mbowe anawezaje kuwafukuza manaibu katibu wakuu bila Kamati Kuu ambayo Lema ni mjumbe? Je Lema alipeleka hoja hiyo Kamati Kuu ikakataliwa? Kama hajafanya hivyo kwa nini anamlaumu mwenyekiti huku akijua kuwa hana mamlaka hayo? Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
 
Kumbe mbowe hang'ang'anii uenyekiti kwa sababu Bado ananguvu ya kuongoza, Bali Kuna mengi anataka aendelee kuyaficha yasijulikane, siku zote ukion@ mtu anang'ang'ania madaraka basi jua Kuna mambo Yako nyuma ya pazia anataka aendelee kuyaficha.

Sasa tumejua kumbe wabunge 19 ni project ya mbowe
 
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzuru msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”

“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema

View attachment 3201877
COVID-19 WAMEIUMIZA SANA CHADEMA
 
Viongozi wa Chadema walijua fika kuwa Wale wabunge 19 wako pale kwa baraka za chama lakini lawama zote wakawa wanazipeleka kwa MAGUFULI. Hawa watu ni Toxic sana.
Wanasema Spika Tulia ndie anawakumbatia kumbe wanakumbatiana kwao huko.
Wapumbafu kabisa.
 
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzulu msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”

“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema

View attachment 3201877
Hii ni bonge la nyundo kwa Team Mbowe..

Na ni kweli kabisa. Hai - make sense at all...

CHADEMA inatafuta mchawi kwa mambo yake kuharibika wakati mchawi yumo humohumo ndani ya chumba chao wanam - peti peti..

Na lawama hizi zote atupiwe Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa kuwa yeye ndiye aliyefuga uchafu huu na leo unamrudi na kumchafua mwenyewe...

Ndio sababu ni kwanini chama kinahitaji new leadership...
 
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzuru msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”

“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema

View attachment 3201877Ll
Wale wabunge uamuzi wa kuwapeleka bungeni haukufanywa na Kigaila na Mwalimu, ulikuwa n uamuzi wa uongozi mzima wa chama ila sasa kwa sabab⁵u wamegombana ndio wanasukumiana mpira. Kigaila na Mwalimu walichofanya ni kuchangamkia fursa kwa kuhakikisha na wao wake zao wanaingia bungeni kupitia hizo nafasi. Kika mbunge kati ya wale 19 anaye mwanaume probably hawara/ proper husband CHADEMA.

Ni kawaida watu wakigombana kutoleana siri lakini hii move ya bungeni ina baraka za majority of top CHADEMA leadership na niliwahi kusema humu mwanzoni kabisa mwa hili sakata la covid 19 kuwa wanachama wa kawaida wanachezewa shere ila wale covid 19 walipwkekwa bungeni na uongozi wa CHADEMA.

PIA Siasa sio uadui, hata kama wale wabunge wamegombana kisiasa na chama bado haiwaondolei mahusiano ya kijamii na wenzao. Mbowe hata kama aliwaalika nyumbani kwake katika sherehe bado sio kosa. Mbona yeye Lema licha ya kuwa Gambo akiwa mkuu wa mkoa Arusha alimuweka jela miezi kadhaa lakini wanaongea naye na hata kupanga mipango, unakumbuka Gambo alitoa siri ya Lema kuomba kuunganishwa na rais! Kama siasa ni uhasama Lema na Gumbo wangekuwa hawazungumzi.

Lema ni mnafiki, anayejali maslahi yake binafsi, anayetumia nukuu ya mistari ya biblia katika hadaa yake ya kutafuta sympathy kwa jamii , iko siku akishafilisika kabisa kusiasa atageukia uchungaji wa ka nisa ili aendelee kula.
 
Back
Top Bottom