LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

Lema ana akili sana, hii ni hoja ya msingi.

Hakuna anayeweza kukipenda chama kuliko mkewe.
Harafu mpuuzi mmoja aitwaye Kigaila anasema wakiwa chumbani na mkewe hawaongei mambo ya siasa

Kwamba mkewe hakumpa taarifa siku anaenda kuapishwa. Madness!
 
Na akaongeza kwamba waume zao ndiyo wanaoandaa documents za kupeleka mahakamani wakati wa kesi ambazo chama kimefunguliwa na hao wake zao eti wakidai wakiwa nyumbani hawazungumzii masuala ya siasa.
Sasa mbona hakuzungumza kabla? Unafiki unalipa.
 
Kuna hawara wa Dr Slaa pia kwenye lile kundi.
sina ubishi maana mambo haya yapo katika kila kundi lenye wanawake na wanaume, shuleni na vyuoni, maofisini mahusiano ya kimapenzi yamejaa tele, hutaki? Utatongozwa/utatongoza tu!
 
Hizi habari amezigundua leo ? Au kwanini hakutwambia Kabla ? Ukishawaelewa Politicians nadhani utakuwa haushangazwi na lolote wanalosema.., It's all about Convenience...
Kila jambo lina wakati wake ndiyo wakati umefika sasa
 
Walikuwa wanamtukana Magufuli kwamba ndo kawapeleka bungeni wakati ni Mwenyekiti
ila mdee na wenzake walieleza hili, kwamba lilikuwa na baraka za mnyika na mbowe, ndio maana hata ndugai ailikuwa na jeuri yote. tunachotaka kujua pia ni kama zile ten percent toka kwa covid 19 DJ alikuwa anazikusanya ili ale peke yake na leo aje awatukane wenzie kuwa ni mafukara hawawezi kuendesha chama. si angewakubali tu na wenzie basi ili ruzuku na ten percent ambazo mbunge wa chadema lazima azitoe, wale wote? au alitaka ifanyike kinyemela ili ale peke yake na kwenye vikao anawahadaa. hivi inawezekanaje kigaila na salum mwalimu wawe hawakuwashauri wake zao waende covid 19? utamthibitishiaje mtu kwamba hawakuwa na mkono pale,ati wanalala kitanda kimoja na leo useme huwa hawaongei mambo ya siasa? really?
 
Hoja za Lema ni za kitoto kabisa, Mbowe anawezaje kuwafukuza manaibu katibu wakuu bila Kamati Kuu ambayo Lema ni mjumbe? Je Lema alipeleka hoja hiyo Kamati Kuu ikakataliwa? Kama hajafanya hivyo kwa nini anamlaumu mwenyekiti huku akijua kuwa hana mamlaka hayo? Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
Huyo lema mqenyewe amesha kaliaga kuti kavu. Mkuu kaa kwa kutulia sawa mambo ya ndani wanayajua watu wa ndani kama hawa kina lema.
 
Back
Top Bottom