Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

Mkiambiwa ukweli hamsikii, hamjui sheria za barabarani mnaendesha tu mnavyojua bali sii inavyotakiwa
 
Wewe mwenyewe umemuita mwenzio mkimbizi unadhani upo sahihi?
Naona kama huzungumzii kauli yake bali chuki ndio imekuzidi
 
Naunga mkono hoja. Ndugu yangu God ulikosea tengeneza mazingira kuomba radhi indirect way watakuelewa.
 
Bodaboda imetumia na politicians kuwapumbaza na kuacha kupigania hali bora ya maisha, nani umeingia kwenye middle class life kupitia Bodaboda?,tujifunze kuambiwa ukweli sio unafiki tuliozoeshwa,na tuelewe sheria za barabarani haziruhusu nyingi ya hizi Bodaboda, kwanza hata hermits hawavai
 
Kauli chafu sana,asipoomba radhi ubunge atausikia tu redioni maana amedharau kundi kubwa sana la watu.Kama namuona Gambo anavyochekelea kwa mpinzani wake kujikaanga kwa mafuta yake.
 
Walitumika kwenye kampeni gani ccm au chadema
 
Kauli chafu sana,asipoomba radhi ubunge atausikia tu redioni maana amedharau kundi kubwa sana la watu.Kama namuona Gambo anavyochekelea kwa mpinzani wake kujikaanga kwa mafuta yake.
Hiyo ndyo silaha ya gambo atakayoitumia kwenye kampeni
 
Back
Top Bottom