Elimu aliyonayo Lema haina uwezo wa kuyafikiri yote haya kwa umakini wake.Bodaboda na Bajaji na Machinga wakiwekewa utaratibu mzuri na miundombinu na wawe operational maeneo Fulani Fulani ni kazi ya kuingiza kipato..
Huko Vijijini ni usafiri muhimu sana,kwanza sijajua inakuaje laana.
Yeye alijua tu akisema ni "laana' atashangiliwa.
At least, angejitahidi kidogo kueleza alichokusudia kusema hilo neno, halafu na kutoa mbadala wa laana hiyo, au kuifanyia marekebisho, hapo ingemfanya aonekane kuwa na maana kidogo.
Kwa ujumla, sijawahi kuona umahiri wowote wa kisiasa toka kwa Lema, mbali ya matukio tu yahusuyo misuguano ya CHADEMA na CCM.
Na siyo Lema pekee, katika viongozi wengi wa chama hicho. Wengi wanazosifa za vijimambo mambo tu. Katika hao nawaondoa Heche, Mnyika pamoja na Lissu.