Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

Hello!

Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..

Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..

Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.

Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?

Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..

Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..

Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.

Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..

Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..

Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398

Ujumbe huu uwafikie boda boda wote waliopo ndani ya tanzania, tulaani maneno haya ya udhalilishaji huu wa kazi zetu za kila siku.
 
chadema hawana hoja.kunayule chawa wao humu sijamuona.
Kule Sumbawanga walisema ooh vyakula vimepanda bei wakatoa na mifano ila Sasa watu wanaolima wao wakasema kwenye Kilimo Serikali Iko sawa..

Kwanza hawanaga suluhisho ila wanalalamika na kuorodhesha matatizo mwisho wa siku wanasema Katiba Mpya,hoja ya kijinga..

Katiba Mpya ni muhimu ila sio jawabu la kutoa watu kwenye umaskini.

Kama hawana suluhisho hakuna haja ya kuwachagua ni wajinga tuu,kuliko kufanya trial kwenye maisha yetu si Bora kuendelea na ccm Sasa.
 
Siku ana haraka kisha kuna foleni ndio atajua umuhimu wa boda boda. Tatizo baadhi ya wanasiasa huwa wanajiona wana mamlaka ya Mungu.
 
Shangaa Sasa na wewe,mavijana mengi ni majinga yanatumiwa na machadema huku hawana Cha kuwasaidia..

Si Bora Rais aliyeamua kuwasaidia Kwa kuwatafutia mashamba Moja kwa.moja watawezeshwa Kila kitu kuliko Hawa wanaotumiwa kama condom na Chadema
Rais akutafutie shamba wewe huna akili?Pumbavu kabisa.
 
UJUMBE HUU UWAFIKIE BODA BODA WOTE WALIOPO NDANI YA TANZANIA, TULAANI MANENO HAYA YA UDHALILISHAJI HUU WA KAZI ZETU ZA KILA SIKU.
Nawashangaa hata Sekretarieti ya ccm wanatakiwa watumie hii kama. silaha ya Kisiasa, uzuri Kila Mkoa una Uongozi wa bodaboda,walaaniwe kabisa Hawa wapuuzi.
 
Kheri ya chadema lakini ccm ndio mbwa kabisa wamefanya washikaji zangu na degree zao kuwa waokota makopo mtaani very sad mungu shushia moto ccm wote
How? Sasa heri ya Chadema hapo ni ipi? Si Bora ccm wanaweza eleza initiative wanazochukua?
 
Mbona unaongea utoto Bwashee ,wewe ni mpumbavu endelea kuhangaika na ushabiki wa Chadema.

Wewe ni mjinga tena mjinga wa kufikiri ina maana bila Rais hauwezi ishi?? Bila Rais hauwezi fanya kazi?Ujinga ni mgogoro katika jamii tunapokuwa na vijana tegemezi kama wewe dunia haiwezi songa,Rais yupo pale kwa ajili ya maslahi yake na nchi kwa ujumla na siyo maslahi ya mtu mmoja mmoja.Na hata wanaogawiwa mashamba ni watoto wa vigogo ili watumie hayo mashamba kuchukulia mikopo ya serikali,hopeless kabisa.
 
Wewe ni mpumbavu Rais anafanya initiative za kuwatafutia Ajira na kazi Vijana Ili wawe na kesho njema.

Tofauti na hapo kazi zilizopo ni hizi za bodaboda nk ambazo hao wapumbavu mnayoita viongozi wenu wanatukana Vijana wanayofanya kazi za bodaboda.

Kuwa na akili wewe kubwa jinga.
 
Mbona unaongea utoto Bwashee ,wewe ni mpumbavu endelea kuhangaika na ushabiki wa Chadema.

Mimi sishabikii Chadema nashabikia maisha yangu na familia yangu pamoja na nchi yangu ili tuweze kufika huko tuendako.Maisha ni mtihani na lazima upambane ili ufaulu na siyo fadhila za Rais aliyepo madarakani.
 
Mfikie huko muendako wapi? Wewe unaenda wapi kwani? Harafu nyie wapumbavu wa Chadema aliyekwambia bodaboda haijafanya watu wapige hatua kimaisha ni nani? Mnajitambua kweli nyie? Ndio maana mnatoa mifano ya Ulaya kwenye mazingira ya Tzn
 
Wewe ni mpumbavu Rais anafanya initiative za kuwatafutia Ajira na kazi Vijana Ili wawe na kesho njema.

Tofauti na hapo kazi zilizopo ni hizi za bodaboda nk ambazo hao wapumbavu mnayoita viongozi wenu wanatukana Vijana wanayofanya kazi za bodaboda.

Kuwa na akili wewe kubwa jinga.
Ajira zilikuwepo tena ziko wazi tangu enzi za mkoloni sema tu ccm imekuwa ikizitumia hizo ajira kama sehemu yao ya kuimarisha chama chao,na huo mchezo mchafu umeanza tangu 2015 hadi sasa,miaka 54 iliyopita Sera za ajira zilikuwa nzuri kufuatana na taaluma ya mtu.Lakini miaka hii minane ccm wanatumia matatizo waliyoyatengeza wao kama sehemu ya kuwasaidia wananchi huku wakiendelea kuwaumiza bila wananchi kujua.
 
Kivipi?
 
Mfikie huko muendako wapi? Wewe unaenda wapi kwani? Harafu nyie wapumbavu wa Chadema aliyekwambia bodaboda haijafanya watu wapige hatua kimaisha ni nani? Mnajitambua kweli nyie? Ndio maana mnatoa mifano ya Ulaya kwenye mazingira ya Tzn
Bila nchi za Ulaya kutawala Tanzania hata kuandika usingejua ungebaki kuwa mtumwa wa Waarabu.
 
Hello!

Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..

Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..

Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.

Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?

Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..

Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..

Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.

Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..

Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..

Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398

Hivi nyie mods Huwa mna maslahi na Chadema?

Heading yangu niliandika Dharau za Lema ,Asema Bodaboda sio kazi ni Laana ,mbona mnabadili heading?
 
Back
Top Bottom