Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

HILI NI TATIZO LA KUCHUKUA MSTARI MMOJA NA KUTOA MAANA NZIMA. LETE HABARI KAMILI KWA NINI AMESEMA HIVYO
 
Hello!

Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..

Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..

Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.

Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?

Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..

Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..

Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.

Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..

Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..

Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398

Kwani uonngo? Nambie ni mtoto gani wa kiongozi anafanya kazi ya bodaboda? Wapeni vijana kazi za kufanya, si ujinga huu wa boda boda. Sidhani kama Lema kaishia hapo ametoa maelezo kwanini anasema ni laana! Bodaboda ni LAANA, mtoto wangu hapana!
 
Laana watu Wanajenga wana maisha angetafuta namna nzuri ya kuongea aheshimu ajira za watu huyo kijana
Anajua laana ni Nini aende zake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hta mashoga wanajeenga kwa hela ya ushoga. laana haibadiliki kwa sababu unajenga na kulisha familia laana ni laana tu. Unaweza kumuua mama yako ukajenga na kulisha familia ila itabaki kuwa ni laana
 
Yaani unauliza swali kwenye uhalisia???Sisi wengine hatuishi kwa upepo wa viongozi bali tunaishi kwa Sera imara za nchi,mfano sera ya Ujamaa na Kujitegemea ni sera nzuri sana.Vile vile Tanzania kuwa nchi ya Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa vinavyoamini katika Demokrasia ya kweli na Ujamaa ni sera nzuri sana.
Lakini Sera ya,"Mimi ni rais nikuteue kuwa Mkurugenzi ,mshahara nikulipe mimi,gari nikupe mimi halafu nisikie umemtangaza mpinzani!kazi huna." Au Wapinzani walichelewesha sana maendeleo hizo zote ni sera mbovu.

Hebu tuchukue picha tangu 1977 CCM ilifanya nini zuri hadi 1992 na baada ya 1995 hadi sasa je sisi kama Taifa tumefeli nini chini ya mfumo vyama vingi vya siasa?Rafiki siasa siyo uadui bali siasa ni maisha halisi ya mwanadamu tangu anapozaliwa hadi kukua mpaka kifo chake.Leo hii nimesikia kule Mpanda Mkoa wa Katavi mtoto mchanga ameokotwa chooni na mama yake hajulikani alipo,Wasamaria wema wamefganya yao kuokoa maisha ya mtoto na ikitokea mtoto huyo akakua historia imeshatengenezwa na ndio mwanzo wa siasa.Siku akifanikiwa katika maisha mama yake atajitokeza na Kitubio Kikubwa na kumsingizia shetani,Baba atajitokeza kuwa wewe ni mwanangu mama yako alikosea kukutupa chooni mwanangu.Ona sasa wewe unadhani kuzuia watu kuongea madhaifu yanayojitokeza kwenye ndiyo tiba ya kweli?

Kumsifia sifia Rais je ndiyo suluhisho la maisha?Usipopambana wewe kama wewe hatuwezi kufika maana tunategemeana mimi na wewe.Ukilima mpunga na mimi nikavua sato tukabadilishana maisha yatasonga tu.
 
Hello!

Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..

Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..

Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.

Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?

Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..

Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..

Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.

Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..

Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..

Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398

naomba kuuliza huu ujumbe unawahusu pia Bajaj na Waendesha Uber?
 
Kaongea ukweli sema wengi tunaona katukana bodaboda.
Hakuna utatuzi wa ajira na wasomi wameangukia kazi hiyo huku wakilalamika uoni ni laana.

Wimbi la ajari za pikipiki na matukio ya kufa kwa vijana wizi wa kuibiwa pikipiki uoni ni laana.

Wana ccm na serikali yao ijawai kuwazia utatuzi wa ajira na kushabikia hiyo kazi uoni ni laana.

Ukienda kituo cha polisi pikipiki ni nyingi uoni ni laana.

Bodaboda wamekuwa wakinyanyaswa mijini uoni ni laana.

Serikali aiwezi kumuheshimu bodaboda uoni ni laana
 
Hello!

Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..

Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..

Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.

Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?

Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..

Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..

Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.

Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..

Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..

Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398

Kuzaliwa tu Tanzania tayari ni laana tosha mbona lema amewalipua hao boda boda bila sababu za msingi inasikitishaa
 
Vijana wanafanya bodaboda baada ya kukosa njia mbadala za kujitafutia vipato. USA, Canada, South Africa, Dubai kuna bodaboda? Hakuna, sababu ni kwamba kijana anapata ajira yenye staha, ya kufanya, na kipato cha kukidhi maisha yake.

Zamani kabla ya bodaboda hazijaanza, kulikuwa na asekdo, usafiri wa baiskeli. Hizi ni njia za kujiaptia vipato kwa watu kwenye nchi zenye ufukara na umaskini uliokithiri.

Hivi kweli usomeshe mtoto umtayarishe awe bodaboda!! Ulaana wake unaanzia hapo, kazi haina akiba ya NSSF, haina bima, wakubwa wakiamua hata mjini unazuiwa usiingie. Niambie mtoto gani wa mkubwa anafanya hiyo kazi. Kazi haina mkataba wa kazi, unaweza ukafukuzwa wakati wowote.

Ni kazi ya hovyo sana, acha kuwaza kimaskini, uchumi wako inabidi ukue ili uachane na hiyo kazi, ufanye kazi ya Uber, umiliki teksi kadhaa, na logistic company. Nina jamaa yangu, tulipotoka chuo, 2010, tukapata kazi, yeye baada ya muda, akazichanga pesa yake akanunua kakorola mkweche, akazama zake Arusha, akasema bora akafanye kazi ya kubeba watalii na wageni. 2020, tulipokutana, tayari ameishasajiri kampuni yake ya tours, anakodisha gari zake tatu, salon cars, na Noah. Inabidi uwaze hivyo, na huyu ni engineer, akiwa hana kazi anapiga kazi za ufundi.

Sasa wewe umeingia kwenye bodaboda, hukuwa na mbadala mwingine, na kwanini mbadala wako baada ya kupigika iwe bodaboda? Kwanini hukuenda USA, au mgodini, au viwandani, ukampiga pesa ndefu kwa kazi za kubeba boksi, sababu ni kwamba hizo fulsa hazipo, hata passport huna, mifumo sio rafiki kwako, hukopesheki. Ulaana wa bodaboda unaanzia hapo, na si bodaboda, hata ajira zingine kama kutembeza karanga, kuuza aiskrimu, kuuza mahindi ya kuchoma, zote ni laana tu, kipato chini ya milioni 1.5, ni umaskini tu.
 
Kama Bodaboda ni laana,basi nchi nyingi Duniani zimelaaniwa.
Kenya kuna Bodaboda!
Uganda kuna Bodaboda.!
Rwanda kuna Bodaboda!
India ndiko zilikoanzia!
Philippines ziko Bodaboda!
Taiwan ziko Bodaboda!

Je!
Na huko wanaumizwa na Utawala wa CCM?

Je huko Canada alikotoka Lema, hakuna Maskini mitaani?
 
Back
Top Bottom