Naunga mkono hojaSasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki haitoki" amesema Lema.
Mkuu, tukiachana na kufika bei, unasemaje kuhusu hoja yake? Baada ya kutokea yaliyotokea, upo tayari?Lema ameshafika bei.....hizo ni Kona kona tu za kumalizia biashara.....lakini huyo mchaga ni muda mrefu tu alishavuta mpunga
Kukimbilia kusema kila mtu amefika bei mnakuwa mnakosea. Wengine walikuwa ni maafisa toka day 1, wanachofanya sasa au pale wanapowageuka ni sehemu ya kazi waliyotumwa na siyo lazima wawe wamehongwa.Lema ameshafika bei.....hizo ni Kona kona tu za kumalizia biashara.....lakini huyo mchaga ni muda mrefu tu alishavuta mpunga
Hoja yake imezimwa na hayo yanayosemwa ya chini chini dhidi yake hapo anajikosha tuMkuu, tukiachana na kufika bei, unasemaje kuhusu hoja yake? Baada ya kutokea yaliyotokea, upo tayari?
Pamoja na janja janja unayosema ila hoja ipo.Hoja yake imezimwa na hayo yanayosemwa ya chini chini dhidi yake hapo anajikosha tu
Sawa kama wewe umeona kuna hoja fikra na mitazamo haifananiPamoja na janja janja unayosema ila hoja ipo.
Yes, mimi naona kwenye suala la utayari kuna hoja japo mtoa hoja ana walakini. Tupo watu M60+.Sawa kama wewe umeona kuna hoja fikra na mitazamo haifanani
Kweli ndugu.....kwenye wengi pana mengi.....Yes, mimi naona kwenye suala la utayari kuna hoja japo mtoa hoja ana walakini. Tupo watu M60+.
TrueKweli ndugu.....kwenye wengi pana mengi.....
Wakati mwingine ndugu watu wakishakudhania mabaya basi yale yanamezwa na yale yanayodhaniwa juu yako!!
Kwenye ulimwengu wa kisiasa "dhana" hazipuuziwi