Wewe ndio kenge namba Moja. Usiyr na akili, unayeongea mambo bila utafiti wowote.Tatizo la Chadema ni na vyama vyote vya siasa ni moja, ni lile lile kama la dini. Ulianza ukatoliki waprotestant wakajitenga na kuanza kuwaona wakatoliki waovu, wabaya. Papa akaanza kuitwa mpinga kristo, waprotestanti wakijiona wako sahihi.
Baadaye wakaja walokole wakawaona wakristio wengine ni wabaya, after all hawaneni kwa lugha, halafu wanakunywa pombe.
Walokole wakaeenda wee saa hizi tuna manabii na mitume matapeli wanapiga pesa na kumiliki utajiri wa ajabu ndani ya ulokole. Kila mtu mwenye common sense anaanza kuona hakuna cha mkatoliki, mprotestanti wala mlokole, dini zote ni watu wale wale na mapungufu yao.
Njoo kwa vyama vya siasa sasa.
Hivi Chadema, Lema, Lissu na kenge wengine ndani ya hicho chama wana guts gani za kuanza kumnyooshea kidole kenge wengine. Kenge ni kenge tu. Lema hana moral authority ya kusema hiki ni sahihi hiki sio sahihi. Wanasiasa na binadamu kwa ujumla tujifunze kuwa humble na kusema machache.
Na kwa namna Chadema inavyojipeleka itakuwa kosa la millenia kwa nchi hii kuwapa hawa watu nchi watuongoze.
Wewe chawa wa CCM utaishauri Nini CHADEMA. Kila siku unashangilia waliouawa Oct 29, halafu Leo unajifanya mshauri wa CHADEMA. Washauri CCM waache kuua na kuteka viongozi wa upinzani na kuwafungilia kesi za kihuni. Mnajifanya hamuoni mateso wanayopitia CHADEMA? Kesi za uongo, kuzuiwa kufanya siasa, kuwekwa out kwenye uchaguzi mkuu na mapambano na TISS. Wewe kaa na CCM yenu mtawale milele.nimekua nikishauri hili swala kwa miaka 17 mfululizo nikijarรญbu kuwashauri chadema,wabร dili mbinu,wajenge chama,waeneze matawi ya chama hadi vijijini huko,tatizo wangdhani siasa za uhasama zitawaingiza ikulu,kutukana,kuzushia vifo viongozi walioko madarakani ni kupoteza muda tu,,wao wajenge chama,waeleze sera zao kwa wananchi na kwa lugha ya kistaarabu,wananchi watawaelewa tu,hakuna mtu ataunga mkono watu wanaochochea vita vya wenyewe kwa wenyewe,watu wanataka utulivu,waendelee na maisha yao na family zao
Ni rahisi kumjua na ndiyo maana wengine hatujawahi kumuamini hata siku moja. Hata watu walipokuwa wanashangilia unabii wake, kuna sisi ambao tulikaa kimya maana nafsi zetu zilikataa kumkubali.Kumwamini Lema inabidi utulie sana, kuna maeneo ni kama hayupo pamoja na wenzake, kuna maeneo unamwona anakipenda chama... Kumwelewa labda uwe unaujua ukweli.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Ila CHADEMA wanapitia mapito mengine kutokana msingi wa waanzilishi wake .kilikuwa chama cha kaskazini na SACCOS. ya kujipatia Pesa na mademu.
Mbowe aliposhondwa imekuwa nongwa sana kwasababu Kuna watu milija yao imekatwa .Walio zoea hayo maisha Sasa wanapata tabu sana.
Kinachowauma lema sugu na genge lao wakati huu Pesa zipo inje inje lakini Heche na wenzake hawataki
Kwa kinachoendelea inaonyesha unabii wake alikuwa anauziwa mkanda, anatangulia kuutoa, kisha watu wanamalizaNi rahisi kumjua na ndiyo maana wengine hatujawahi kumuamini hata siku moja. Hata watu walipokuwa wanashangilia unabii wake, kuna sisi ambao tulikaa kimya maana nafsi zetu zilikataa kumkubali.
Hii michezo ya mapandikizi ukishaielewa wala hausumbuki.
Sahihi kabisa ili kumjengea credibilityKwa kinachoendelea inaonyesha unabii wake alikuwa anauziwa mkanda, anatangulia kuutoa, kisha watu wanamaliza