PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Kuna watu huwa, hawanaga mbili kwenye moja na huwa huamini katika msimao wao, akiwamo lema, na lissu,

Hawa jamaa wakisema noo huwaga hawanaga option ya pili
 
Huu Mwaka hakuna .wananchi wala Mwanachadema mtakayemvunja mguu kwa sababu ya uvjaguzi. Tumeikataa hii

Nendeni mkachaguane nyinyinna wake zenu na watoto wenu.

Sio mnasukuma Watanzania ili mpate Ruzuku
Mashujaa kama nyinyi huwa mnaongea sana panapoitwa maandamano n.k. Watu waoga kama Ruge, Suzan ndio utawakuta wanaongoza kwa matendo na mara nyingi wanaishia lupango! Hata binti yake Mbowe aliwashinda.

Amandla...
 
Akiwataja nishtue. Nabet 100k kwako kama atawataja
 
Mashujaa kama nyinyi huwa mnaongea sana panapoitwa maandamano n.k. Watu waoga kama Ruge, Suzan ndio utawakuta wanaongoza kwa matendo na mara nyingi wanaishia lupango! Hata binti yake Mbowe aliwashinda.

Amandla...
Hao si ndio wananufaika na ruzuku acha wapambane
 
YOTE ULIYOANDIKA NI VERY CORRECT. Mimi ni mdau mkubwa wa demokrasia. ccm SIIPEND KWA VILE INAUA WATU , HAITNDI HAKI WAKATI WA CHAGUZI ZETU, ACTUALLY HAKNA CHAGUZI NI MAVI TU

Lisu was my favorite politician, AN ADMIRED POLITICIAN, and academically excellent AMONG THE FEW AVAILABLE IN TANZANIA. Lakini style aliyotumia katika kampeni zake, kumbagaza mbowe, kumsingizia uongo, kumthihaki etc etc hafai kabisa kuwa kiongozi. anafaa kuhamasiasha vurugu kufikia lengo na si na si uongozi
 
fukuza wote tena ndani ya 48 hours wote wawe out lazima muwe aggressive aisee
 
YOTE ULIYOANDIKA NI VERY CORRECT. Mimi ni mdau mkubwa wa demokrasia. ccm SIIPEND KWA VILE INAUA WATU , HAITNDI HAKI WAKATI WA CHAGUZI ZETU, ACTUALLY HAKNA CHAGUZI NI MAVI TU
Sasa mkuu Retired hapa ndio huwa mnashindwa kueleweka. Mnakubalia kwamba shida ipo lakini mnataka twende hivyo hivyo na mnawashambulia watu wanaokuja na solution.

Kama ni kujaribu kwenda nao tumefanya hivyo kuanzia 2010, 2015, 2020, na Mama akatulaghai na 4r tukaenda November 2024 Serikali za mitaaa.

Utakuwa hujali maumivu ya watu wengine ikiwa utaendelea kuswaga kondoo zako kwenye kundi la Simba.
 
Unajichanganya mara he is excellent mara alimshambulia Mbowe. Kuusema ukweli?
 
😅😅😅😅Pale mwanaccm anapoonesha huzuni chadema ikifa. Unajiuliza ana maslahi gani na chadema?
Na washangaa sana hawa makuwadi ndio maana hata hoja hawana ni kujaza serve za watu bila ya kuwa na maneno yanayoeleweka.
 
Program yenye pesa ndefu ni no reform hyo ipo kimkakati kabisa na kuna wana ccm ndani yake bigfish.
 
Mh.Lema,Heche na Tundu lisu watanzania tumewaelewa sana,piga kazi mtukomboe watanzania.
Ninachojua mimi,amani tuliyo nayo tanzania ni asili yetu haikuletwa na ccm wala tanu,Kama nadanganya mmoja aonyeshe uvunjifu wa amani ulioasisiwa na raia kabla ya mwa 1961 tulipopata uhuru.
 
ulitaka msemaji awe mrema do ujue chama kinaenda akili ndogo
Kwa akili yako ilivyo unamuona lema ana akili kubwa?
Akili ndogo ni yako ambae unaenda kuandamanishwa na mtu ambae kaacha familia yake nje kuja kuandamanisha nyie wanyonge

Mtapigwa kipigo cha mbwa koko mpk mchakae,yeye akimbilie Canada tena
 
Anamtishia nani? Kuchafuana tu. Jamaa ni mnafik sana. Baada ya wao kushinda alipendekeza wamnunulie Mbowe gari kama asante kwake. Mbowe akampotezea na hakurudia tena. Uzuri ni kuwa waliokuwemo katika G55 ni watu maarufu na mchango wao kwa chama unajulikana. Huyu jamaa ni muongo na mtu wa fitna sana. Wakati wa uchaguzi wao alitangaza kuwa wajumbe wananyimwa vitambulisho lakini waandishi wa habari walipoenda walikuta zoezi linaendelea kwa amani kabisa. Mbinu anazotumia zimepitwa na wakati.

Heshima ya wakina Mrema haitavunjwa kirahisi hivyo. Ndio maana Katibu Mkuu alimpa taarifa Ruge ya kuenguliwa kwa heshima kubwa. Ndio maana kuna wafia chama humu ambao hawakubaliani na msimamo wao lakini wanakataa kata kata kuwavunjia heshima.

Watu kama hawa wanapata kigugumizi linapokuja suala la rafiki zao ambao wako upande wa pili wakifanya juhudi za wazi kuibomoa CDM. Leo wanapata ujasiri gani wa kuwashutumu wakina Ruge na Suzan? Watu ambao wakati yeye yuko ughaibuni walikuwa wanashinda rumande kutokana na kukipigania chama chao!

Amandla...
 
Na Lema na Lisu nao ni njaa. Wadanganye wajinga. Mko kwenmye siasa mkitegemea kupata pesa/kuongoza serikali muwe mawziri etc kupata pesa. Mwizi wa magari
Kwani ndugu na wewe g55 mwenzangu?
 
Hapo ndipo mnakosea. Badala ya kujipigania mnangojea mtu aje awakomboe!

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…