Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa, Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.
Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu, Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!
Mytake: Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga, si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa