Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 462
Ni watu wawili tu wanaoushabikia mwenge.Kweli CHADEMA ina viongozi wahuni wahuni tu wanaopanda majukwaani wakiwa wamelewa.hivi kweli mjumbe wa kamati kuu anaweza kuongea ujinga wa Namna hiyo kweli? Mambo hayo na ujinga huo ndio wa kuongelea jukwaani? Ndio sera za kukipa ushindi chama hizo? Ndio zinazoweza wafanya watu wakaacha vyama vyao wakajiunga na Sacco's ya Mwenye kigoda? Ndio anachohitaji kusikia Bibi wa kijijini anayekuja kwenye mikutano yenu? Ndio maono ya viongozi hayo? Ndio alichojifunza Canada hicho? Ndio utafiti uliofanywa na chama unajuwa ndio wana nyanda za juu kusini wanataka kusikia hicho?
Kwanini mnaendesha chama kihuni kiasi hicho? Kwanini hamtambui kuwa kuna vitu kiongozi mkubwa hapaswi kutamka au kutoa katika ulimi au mdomo wake? Kwanini mnashinda kuwa na viongozi wenye kuchuja maneno na kuwa na staha? Kwanini wote akili zenu zipo kama za mvuta bangi Mdude? Kwanini mnakifanya chama kuwa kama kusanyiko la wahuni ,vibaka,watu waliozibuka akili? Mnakwama wapi? Kwanini hamkui akili na bongo zenu?
1:Mwenye maslahi nao
2:Mpumbavu.