Lema: Kuna Vijana walitaka kuiba Mwenge Arusha wakaukosa, nilisikitika sana

Mnauiba wa nn? Mnaongea maswala sijui ushirikina, wakati wengi wenu, december mnatumia mamilioni kurudi makwenu, hamna lolote la maana zaidi mrudi mnasema wazee walifanya, msioweza nanyi mnatamni mrudi makwenu kama baadhi ya watanzania wengine,
Hizo ni tamaduni tu. Inategemea unafanyaje. Ila ni tamaduni. Acheni upuuzi wa Tanzania, kuna vitu vya msingi vya kufanya.
Huyo torch mngekua na akili wengi wenu thread hii mngeitia tuwaze tufanyaje iwe na wadhfa mzuri duniani unaodumisha utamaduni. Olympic hadi leo wanawasha torch yao , why not us?
Acheni usenge Watanzania. Huo ni utamaduni.
(Mimi si mwanasiasa nimeongea tu mawazo yangu na navyofahamu na kupenda iwe)
Huyu lema na wanasiasa wengi bongo ni wachochezi wa upuuzi. Vipo vitu very important kuvifanya kama vijana Tanzania hapa.
Gomeni, fanyeni quite maandamano kuhusu ajira, kuhusu mishahara, kuhusu mikopo bank, kuhusu elimu, ardhi, mkiweza kavunjeni vioo pale BOT, piga Mawe gari ya waziri, piga mawe wapuuzi, Anzisheni scandals na zisimamieni kuhusu viongozi wa serikali. Wengi tunawaona wanaingia kwenye ma appartments na wanawake hata watatu watatu, Raise your voices, Muone next day kama hamjasikilizwa, sasa wapuuzi kama lema sijui, sijui mbowe, wanawafanya muibe hiyo torch, are you mad. Na mipuuzi inachangia humu oooh kweli mwana wa Mungu. Next day mnawekwa ndani. Mnapigwa mnarudi mtaani wajinga na hamna mbele wala nyuma😡😡😡😡. Nationalists hawapo hivo, nationalists wanaongea vitu positive to make the government aware. Shida ni nyingi. Nyingi.
Pumbavu!!!!!
 
View attachment 2790193

Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.

Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!

Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa

Hahahaha, mbavu zangu
 
Kweli CHADEMA ina viongozi wahuni wahuni tu wanaopanda majukwaani wakiwa wamelewa.hivi kweli mjumbe wa kamati kuu anaweza kuongea ujinga wa Namna hiyo kweli? Mambo hayo na ujinga huo ndio wa kuongelea jukwaani? Ndio sera za kukipa ushindi chama hizo? Ndio zinazoweza wafanya watu wakaacha vyama vyao wakajiunga na Sacco's ya Mwenye kigoda? Ndio anachohitaji kusikia Bibi wa kijijini anayekuja kwenye mikutano yenu? Ndio maono ya viongozi hayo? Ndio alichojifunza Canada hicho? Ndio utafiti uliofanywa na chama unajuwa ndio wana nyanda za juu kusini wanataka kusikia hicho?

Kwanini mnaendesha chama kihuni kiasi hicho? Kwanini hamtambui kuwa kuna vitu kiongozi mkubwa hapaswi kutamka au kutoa katika ulimi au mdomo wake? Kwanini mnashinda kuwa na viongozi wenye kuchuja maneno na kuwa na staha? Kwanini wote akili zenu zipo kama za mvuta bangi Mdude? Kwanini mnakifanya chama kuwa kama kusanyiko la wahuni ,vibaka,watu waliozibuka akili? Mnakwama wapi? Kwanini hamkui akili na bongo zenu?
Umepigwa upofu na Uchawi wa kibatari
 
Alafu hizi hisia za mwenge kuwa na mambo ya ajabu nimeanza kuzisikia kitambo sana na kuna baadhi ya watu walipeleka mwenye kwenyw miradi yao ikaishia kufa kifo kibaya najiulizaga kuna tatizo gani na walikua watu makini imagine mtu anaeanza toka chini alaf anapoteana miezi kadhaa baada ya mwenge kufungua au kupita kwenye mradi wake
 
Olympic hadi leo wanawasha torch yao , why not us?
Kwahiyo kwakuwa Olympic wana mwenge ndiyo unajenga uhalali wa sisi kuwa na mwenge?

Siyo kila kinachofanywa na mzungu ni kizuri na kinastahili kuigwa. Achana na mawazo ya kitumwa.

Igeni na ushoga kutoka kwa wazungu basi.
 
Umepigwa upofu na Uchawi wa kibatari
Ninyi mnaviongozi wahuni wahuni na ndio maana chama kimetwaama matopeni na hakiwezi kujinasua. Embu acheni kuendesha chama kihuni huni na kitapeli kiasi hicho .halafu wewe acha kuniabisha wakati wewe ni muwekezaji na mwenye exposure kubwa sana.nakushangaa unaunga mkono uhuni wa kina lema .
 
View attachment 2790193

Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.

Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!

Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Hauna maana yoyote
 
Kwahiyo kwakuwa Olympic wana mwenge ndiyo unajenga uhalali wa sisi kuwa na mwenge?

Siyo kila kinachofanywa na mzungu ninkizuri nakinastahili kuigwa. Achana na mawazo ya kitumwa.

Igeni na ushoga kutoka kwa wazungu basi.
Yaani kabisa umequote kutype hivo, ndivyo nilivyomaanisha unachoona. 🤧. Haya mchana mwema
 
Kweli CHADEMA ina viongozi wahuni wahuni tu wanaopanda majukwaani wakiwa wamelewa.hivi kweli mjumbe wa kamati kuu anaweza kuongea ujinga wa Namna hiyo kweli? Mambo hayo na ujinga huo ndio wa kuongelea jukwaani? Ndio sera za kukipa ushindi chama hizo? Ndio zinazoweza wafanya watu wakaacha vyama vyao wakajiunga na Sacco's ya Mwenye kigoda? Ndio anachohitaji kusikia Bibi wa kijijini anayekuja kwenye mikutano yenu? Ndio maono ya viongozi hayo? Ndio alichojifunza Canada hicho? Ndio utafiti uliofanywa na chama unajuwa ndio wana nyanda za juu kusini wanataka kusikia hicho?

Kwanini mnaendesha chama kihuni kiasi hicho? Kwanini hamtambui kuwa kuna vitu kiongozi mkubwa hapaswi kutamka au kutoa katika ulimi au mdomo wake? Kwanini mnashinda kuwa na viongozi wenye kuchuja maneno na kuwa na staha? Kwanini wote akili zenu zipo kama za mvuta bangi Mdude? Kwanini mnakifanya chama kuwa kama kusanyiko la wahuni ,vibaka,watu waliozibuka akili? Mnakwama wapi? Kwanini hamkui akili na bongo zenu?
We mwenge unakusaidia nini?
 
Haya...kuanzia sasa mwenge upewe na uwekewe ulinzi

Ova
 
Ule ni ujinga sana... Ungekuwa unaingia kwenye vikao vya maandalizi ya mwenge katika eneo lako utacheka...kwanza miradi ya kufungua ni ya kutafuta.... Gharama za kukimbiza mwenge ni za hovyo sana.... Sijawahi kuonaga umuhimu wake ....
Upo sahihi ni ujinga tupu
 
Hivi motive behind ni kukimbiza Kibatari au ni Solidarity na Kile ambacho kinapaswa kufanywa kwenye hizo Mbio ?

Nadhani sometimes tukijikita kwenye vitu petty vina-dilute hata yale ya muhimu..., Kabla hatuja-deal na Mwenge nadhani kuna mengi hapa katikati
 
View attachment 2790193

Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.

Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!

Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Hata kama tumekuwa na hasira au chuki kwa kitu fulani, lakini hatuwezi kusifia mpango wa wizi wa mali ya umma kwenye jukwaa rasmi. Labda ingetumika tafsiri nyingine.

Ova
 
View attachment 2790193

Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.

Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!

Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Eti nabii wa Mungu, Mungu yupi huyo. Au wewe ndo kama yeye na yeye kama wewe.
 
Back
Top Bottom