Lema: Kuna Vijana walitaka kuiba Mwenge Arusha wakaukosa, nilisikitika sana

Lema: Kuna Vijana walitaka kuiba Mwenge Arusha wakaukosa, nilisikitika sana

kwanza nikusalimu kwa jina la makonda...... turudi kwenye quote' ni ngumu sana kuliona hilo...japo kajidai kuishia kusema alisikitika nakufikiri hatujajua dhamira yake ya kuchochea vitendo vya kiuwalifu ili kuvuruga amani ya nchi
Hivi bado familia ya kikwete inauza Unga kama alivyowahi kusema Makonda ?
 
Duh,na wangefanikiwa kuikwiba
Hao miamba wangeweka rekodi [emoji1]

Ova
Hahhaaha mzee wa Kino kuna wakati wanasiasa wanataka tu kuwaponza vijana. Huo mwenge kwa jinsi unavyolindwa hao wezi wangekiona cha mtema kuni. Yaani hali ya hewa ingechafuka.
 
Hahhaaha mzee wa Kino kuna wakati wanasiasa wanataka tu kuwaponza vijana. Huo mwenge kwa jinsi unavyolindwa hao wezi wangekiona cha mtema kuni. Yaani hali ya hewa ingechafuka.
Hujui kitu , kuna mida ikifika walinzi hupewa makahaba wakaserebuke nao , hapo ndio pa kuuiba
 
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa, Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.

Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu, Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!

Mytake: Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga, si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Kitu Cha Arusha kimemkolea 😆😆
 
Back
Top Bottom