Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuiba Mwenge wa Uhuru ni kuiponya nchi , ni barakaSasa ni kama amewachomea vijana hao! Ungeuchuna tuu, hapo watamkamata Lema waanze nae😁
AmenLibarikiwe tumbo lililomzaa Lema
Anathibitisha kazi yake ya awali, mja asili haachi asili yake!View attachment 2790193
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema , amedai kwamba Ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru .
Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa , lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana , jambo lililomsikitisha sana !
Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Labda moja ya siri ipo kwenye hili suala hapa👇View attachment 2790193
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema , amedai kwamba Ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru .
Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa , lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana , jambo lililomsikitisha sana !
Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
😆😆😆😆😆Labda moja ya siri ipo kwenye hili suala hapa👇
Nyaraka za siri za Mwalimu Nyerere zilizohifadhiwa Oxford University kutolewa Dec 4, 2036
Nyerere,saint or untarnished tyranny-kitabu cha mhaya 🤣🤣 Walimgomeawww.jamiiforums.com
Yeye amewahi kuona wapi mzimu unaibwa?.Ibeni muone kama hamjafa ukoo wenu wote,dadeki!🤣🤣🤣View attachment 2790193
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.
Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!
Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Ule ni ujinga sana... Ungekuwa unaingia kwenye vikao vya maandalizi ya mwenge katika eneo lako utacheka...kwanza miradi ya kufungua ni ya kutafuta.... Gharama za kukimbiza mwenge ni za hovyo sana.... Sijawahi kuonaga umuhimu wake ....Yeye amewahi kuona wapi mzimu unaibwa?.Ibeni muone kama hamjafa ukoo wenu wote,dadeki!🤣🤣🤣
Anathibitisha kazi yake ya awali,mja asili haachi asili yake!
kwa kupanga vijana wakaibe mwenge" bro mbona hujakamilisha sentens nimeona bora nikumalizilid, nb tz tuna vijana wa hovyo like mtoa mada na viongozi wa ajabu like lema, unaibaje mwenge? na ukishaiba ndio mwisho kwamba hawatakimbiza tena,, ndugu zangu chadema kwa mawazo haya nimeamin tupo kwaajil ya ruzuku ya vyama na si uongozi pleas naomben nafasi hapo chadema niwape mikakati ya kukiipindua ccm mana naona hapo hakuna kichwa wote miguu tu tena ya bata, nawahakikishia mkinipa nafas yoyote ndan ya chama mnipe miaka miwili tu ccm naipiga dole la kati pale katiLibarikiwe tumbo lililomzaa Lema
Tutauiba tu ngoja uje tarimekwa kupanga vijana wakaibe mwenge" bro mbona hujakamilisha sentens nimeona bora nikumalizilid, nb tz tuna vijana wa hovyo like mtoa mada na viongozi wa ajabu like lema, unaibaje mwenge? na ukishaiba ndio mwisho kwamba hawatakimbiza tena,, ndugu zangu chadema kwa mawazo haya nimeamin tupo kwaajil ya ruzuku ya vyama na si uongozi pleas naomben nafasi hapo chadema niwape mikakati ya kukiipindua ccm mana naona hapo hakuna kichwa wote miguu tu tena ya bata, nawahakikishia mkinipa nafas yoyote ndan ya chama mnipe miaka miwili tu ccm naipiga dole la kati pale kati