Lema: Kuna Vijana walitaka kuiba Mwenge Arusha wakaukosa, nilisikitika sana

Ni watu wawili tu wanaoushabikia mwenge.
1:Mwenye maslahi nao
2:Mpumbavu.
 
Lema atadakwa kwa kauli hii! Lazima ataitwa kuhojiwa[emoji16]
Labda waamue kumpuuza tu, lkn kwa kauli hiyo anapaswa kusaidia vyombo juu ya njama hizo.
My take, kuwa watu wanapenda kujitafutia matatizo eti wakilia waonewe huruma!
 
Mwenge ni activity ya kitaifa. Which means hata kada wa Chadema anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa kukimbiza mwenge.
Yale maneno ya wimbo wa mwenge yanatoka Tibet asili yake.
Hakuna laana katika mwenge. Laana labda zipo katika ngono wanazofanya katika ule mkesha.
 
Hujui unachokisema. Kamuulize Mungu wa kweli story ya mwenge kama huwa mnazungumza atakujuza siri ya huo uchafu
 
"Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru."

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru."

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu sana
 
Kwa kweli
Inashangaza sana gharama kubwa zinatumika kwenye vitu visivvyo na tija
Wakato Toto Afya bima imefutwa.,watoto wa maskini wanapambana na hali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…