Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.
Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.
Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.