Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela zipi tena wakati michango ya Bavicha inatosha, vipi ofisi za Chadema bado zipo ufipa daah kwa nini usimwambie Mbowe na Lema mjenge ofisi ni aibu chama kama Chadema kupanga room tatu kama ofisi.Tafuta hela ule na watoto waende shule nzuri,achana na CDM utalaza njaa familia kuliko kukaa unaumiza kichwa sababu ya CDM
Lema alikuwa anawaambia changeni pesa ili nizunguke dunia nzima kuelezea mambo ya demokrasia.Cha kushangaa Lema aliluwa anasema huku anasisitiza nikaamini 😁
Wewe punguani kweli unabisha kwa Lema akusema hayo maneno? Wenzako wanajua ndiyo maana umebaki kutoa povu tu wewe ulivyokuwa punguani unabisha.Una Elimu mdogo sana !Kilicho zungumzwa na LISSU hakihusiani na Umoja wa mataifa.Nilikuwa nakuona msomi kumbe zero tu.Rudi shule mkuu
Aliye wadanganya chadema wamepanga ndio aliyeshikilia akili zenuHela zipi tena wakati michango ya Bavicha inatosha, vipi ofisi za Chadema bado zipo ufipa daah kwa nini usimwambie Mbowe na Lema mjenge ofisi ni aibu chama kama Chadema kupanga room tatu kama ofisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anagalia punguani huyu mwingine kwani Gaddafi, alikuwa na kosa gani? Angalia Libya baada ya kuondoka kuna nini?Akili za ccm bwana
Kama ghadafi alikuwaga anahudhuria Tena anahutubia kwa kiarabu masaa matatu mpaka watu wote wanatoka njee wanamuacha aongee mwenyewe, itakuwa huyo kipofu kaona mwezi chief Hangaya,
Ila naskia atapokelewa na maandamano makubwa hapo new York na mabango
Samsung keyboard au iPhone ni ngumu sana kukosea wakati ukiandika hebu tizama ulicho andika.Bavicha wengazako wote wana Tecno mwambie lema akutumie pesa ununue Tecno hata ya 40.000 uwe unasililiza porojo za space.
Mimi sikutukani Ila na kuelimisha sana.Lema na LISSU ambacho Ni ukweli mama hawezi Kwenda marekani kimatembezi Kama ilivyo Kwa Kikwete.Issue ya Umoja wa mataifa haizuiliki hata kina Gaddafi walikuwa wanaenda.Nilikuwa najua Kati ya Lumumba's wewe ndo mwenye Elimu na akili kumbe bonge la KilazaWewe punguani kweli unabisha kwa Lema akusema hayo maneno? Wenzako wanajua ndiyo maana umebaki kutoa povu tu wewe ulivyokuwa punguani unabisha.
Wapi nimekutukana? Nimekujibu kutokana kauli yako kwangu hiyo elimu kaampe Lema, ambaye alisema Rais Samia hawezi kwenda kwenye huo mkutano siyo mimi nakuita punguani sababu na wewe umeshikiwa akili kuwa Gaddafi alikuwa mtu mbaya.Mimi sikutukani Ila na kuelimisha sana.Lema na LISSU ambacho Ni ukweli mama hawezi Kwenda marekani kimatembezi Kama ilivyo Kwa Kikwete.Issue ya Umoja wa mataifa haizuiliki hata kina Gaddafi walikuwa wanaenda.Nilikuwa najua Kati ya Lumumba's wewe ndo mwenye Elimu na akili kumbe bonge la Kilaza
Jamaa hela anatafuta na amefanikiwa ila chadema lazima awachaneTafuta hela ule na watoto waende shule nzuri,achana na CDM utalaza njaa familia kuliko kukaa unaumiza kichwa sababu ya CDM
Hii post ningekuwa Mimi nimeshaifuta faster... Inakuaibisha mnoo....Wanaukumbi.
Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.
Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.
Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.