United nations session ni kwa kila taifa linatambulika na umoja wa mataifaWanaukumbi.
Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.
Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.
Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Hata kina Kagame ' Mugabe & Amin pamoja na u dictator wao wamekuwa wakihudhuria mikutano hii. So nothing soo specialWanaukumbi.
Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.
Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.
Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Sasa kwa nini hao wakimbizi wenu wamewadanganyeni?Hata kina Kagame ' Mugabe & Amin pamoja na u dictator wao wamekuwa wakihudhuria mikutano hii. So nothing soo special
Mbona sikuoni kule Kwenye case ya MBOWE!!!CCM wote mmekimbia?Wanaukumbi.
Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.
Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.
Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Itaanza wewe kabla yangu miovu yote huwa inatangulia check Lissu anadunda yule aliyesema " tunapekuwa msg zake this is government" Yuko inside coffinBado wewe.
Ni kweli hii habari ??Kuna mkutano mmoja wa UN, Gaddafi aligoma kulala hotelini, yeye na msafara wake uliweka mahema nje. Alikodi na mobile toilets.
hawawezi kaa maana kuna MotoMbona sikuoni kule Kwenye case ya MBOWE!!!CCM wote mmekimbia?
Amedanganywa nani ?!. Labda wewe usie na uelewa wa mambo ya kimataifaSasa kwa nini hao wakimbizi wenu wamewadanganyeni?
Tafuta hela ule na watoto waende shule nzuri,achana na CDM utalaza njaa familia kuliko kukaa unaumiza kichwa sababu ya CDM
Ni kweli hii habari ??
Una Elimu mdogo sana !Kilicho zungumzwa na LISSU hakihusiani na Umoja wa mataifa.Nilikuwa nakuona msomi kumbe zero tu.Rudi shule mkuuWanaukumbi.
Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.
Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.
Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Wacha mama yetu aende na ikiwezekana ahutubie kwa kiswahili hapo tarehe 23Hata kina Kagame ' Mugabe & Amin pamoja na u dictator wao wamekuwa wakihudhuria mikutano hii. So nothing soo special
UNGA hata uwe dikteta gani unaenda. Ahmednajad wa Iran alikuwa anaenda, Gadafi alikuwa anaenda (tena anaenda na turubali lake), Mugabe alikuwa anenda, Chavez, Castrol na viongozi wote waovu walikuwa wanaenda UNGA kama hii anayoenda Samia na hawakutani hata na mhudumi wa serikali ya USA. Hao ni wageni wa UN, serikali ya USA haina Muda nao. Nasubiri Samia aende USA apokelewe na Biden kama ilivyokuwa kwa Nyerere au KibakiWanaukumbi.