Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

Wewe kanywe supu ya kiti mtu. Sisi wenye maoni tofauti na wana zezetas we projected mama atakaribisha amerikani thithi ya vice president of america.
Both women have mutual view and interest in particula women in leadership.
 
Watakwambia anaenda maramoja tu hatakaa arudi tena mara ya pili.
 

Uzushi tu nani kasema Raisi kawawekewa pingamiza ya kusafiri? Achemi kutunga mambo.

Makonda tu walitangaza sasa Raisi wa nchi wasitangaze😂

Lakini nikuelimishe tu hakunaga zuio la kwenda kwenye mkutano wa UN pale sio US ni umoja wa mataifa na nikama balozi ile pana status tofauti na serikali ya USA
 
Walitabiri uongozi
 
UN haipo chini ya Marekani. Hata ambaye amepigwa marufuku kuingia US, kama ana status ya kuhudhuria UN, ataingia US.
 
Kumbe na wewe takataka! Ignorant of what is UN and its role, membership, policies etc etc........
 
United nations session ni kwa kila taifa linatambulika na umoja wa mataifa
Rejea
Mugabe
Rais wa Iran
Venezuela
Maadaui wakubwa wa Marekani
Wameshaenda na kuwatukana maraisi wa Marekani mubashara

Huyu Ustadhi wa Tandamti hajui Fidel Castro wa Cuba alikuwa akihutubia UN pamoja na uadui kati yake na USA.
 
UN haipo chini ya Marekani. Hata ambaye amepigwa marufuku kuingia US, kama ana status ya kuhudhuria UN, ataingia US.
samia hajapigwa marufuku kuingia USA we mburula

dunia nzima ingejua

makonda alipopigwa marufuku ilitangazwa

acha kumfuatilia lema na lissu, bora ushinde tiktok uta smile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…