Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

Wakati wa mwendazake ulikuwa fyooooo kama kimbofya,kwasasa hata akitoa hewa mbaya utasifia kuwa unanukia kuliko marashi ya Pemba.
Sasa hivi hata mambo yako Yale ya China yamezagaa mtaani.
Nimemsikia hata mzee baba akimsifia anaongoza vizuri
ENDELEA KUKUSANYA UKWASI FULSA YAKO HII

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mama anazifahidi madreamliner tofauti na yule mzee ambae safari kwake ilikuwa ni kwenda kuroga na mama yake Chato
 
Japo nimechelewa hii mada yako ni ya kindezi kabisa. Pale UN kila rais anafika hata kama ana mahusiano mabovu na marekani.
Chavez wa venezuela aliwahi kumtukana Bush akiwa ndani ya Ukumbi wa UN. Alisema muda mfupi shetani alikuwa kasimama hapa. Ni baada ya Bush kulihutubia baraza la usalama la umoja wa mataifa.
Ahamad Nijjad wa Iran naye aliwahi kumchana bush pale new york, Mugabe vileviele.
Kwa hiyo anaweza kwenda marekani na akapokelewa na watu wa usalama tu. Na asionane na kiongozi yeyote wa marekani hata wa jimbo. Kama ilivyokuwa kwa Mugabe, Chavez na Ahamadnijad wa iran
 
United nations session ni kwa kila taifa linatambulika na umoja wa mataifa
Rejea
Mugabe
Rais wa Iran
Venezuela
Maadaui wakubwa wa Marekani
Wameshaenda na kuwatukana maraisi wa Marekani mubashara
Kwa hiyo Lissu, Lema et al na nyinyi mnaowafuta kama mitume wa Yesu ni waongo na wapotoshaji?
 
Kwa hiyo Lissu, Lema et al na nyinyi mnaowafuta kama mitume wa Yesu ni waongo na wapotoshaji?
Kwenda mkutano wa UN na Kwenda on state visit Marekani ni vitu viwili tofauti.
Inaonyesha hata basic knowledge ya international diplomacy huna...
 

Hata Ahmed Nejad, Saddam, Bashiri, Ghadafi, nk hawakuwahi kuwa na kizuizi kufika UN, umoja wa mataifa New York.

Vipi kajinasibu huko na delegates wangapi?

Vipi kaingizana huko na Dreamliner lake?

Hiiiiii bagosha!
 
Na wewe na ukongwe wako umekubali kudanganywa na Jaffar kwamba Samia ana ziara Marekani ukafikiri wahusika ni serikali ya USA?
 
Nilidhani Ritz ni mtu mwenye uelewa ie knowledgeable or at least informed, kumbe ni takataka
Nani mwenye uelewa, Ritz? Acha utani ndugu yangu, huo uelewa autoe wapi, aibe? Bahati mbaya uelewa hauibwi, kama huna huna hata ukilia machozi ya damu. Eti Ritz ana uelewa, mbona unanchekesha? Sasa mwambie ateremke kimombo, mbona hata kile cha dhalimu mwendakuzimu utakitamani. Ritz na uelewa ni kama maji na mafuta, mbona hilo kila mtu humu JF analijua?
 
Hahhahah yaani mtu akiongea kimombo kwako ni muelewa?🤣🤣 yaani lugha yako ya kichaga unaona aina mpango ulivyokuwa mtumwa wa akili😃 kwa hiyo wehu na machizi wa UK kwa ni watu makani sana.

Ulivyokuwa punguani unashikiwa akila na Lema daah.

Vipi kijijini kwenu mnaongea kichaga au mnaongea lugha ya kimgereza😃
 
Hata uwe adui wa US kiasi Gani linapokuja swala la uanachama wa UN, Basi US hana Mandate ya kublock your entrance afu hao wageni Hawawi hosted na US, Host wao ni United Nations
 
Masikini Ritz katika ubora wake, yaani uko mtupu kiasi hicho! Leo nimekuwa mchaga? Hata hivyo hakuna ubaya kuongea kichaga kama ninaimudu...tatizo ni kudandia lugha usioimudu kama alivyokuwa akifanya yule dhalimu mwendakuzimu na kuanza kuongea vitu visivyoeleweka; mara fent ford au vitu kama hivyo.

Nina hakika hukuelewa chochote alichosema Mh. Lissu!
 
Teh teh teh mpini umekuingia, leo hii unakataa kabila lako na unakimbilia kiingereza daah kwe mapunguani hawawezi kuisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…