Acha unafiki, haujui Lema amekaa Kisongo kwa kesi ipi ?
Yeye yuko radhi kumuombea Rais afe ila analia lia hapa kuhusu kusalimiwa tu, kweli Nabii Lema ana nyumbu wengi.
Sidhani kama ana Muda wa ziada kufanya mambo ya Kijinga kama hayo Urais ni kazi ngumu sana.
Wanafiki sana, walikataa futari na kutoa ushirikiano wowote kwa CCM, huyu Meya wao wa Ubungo ndio alikuwa mstari wa mbele kueneza chuki, kuwaahadaa wananchi wasishirikiane na serikali yao, Lema ndio aliamua kumuombea kifo kabisa Rais wake, Magu ni mwanaume ana koromeo utaropoka ropoka huku yeye anakulia timing tu, nashangaa saivi mnabembeleza urafiki na Magu.Lakini ubaguzi mlianza nyie kumbuka mlisusa futari ya majaliwa dodoma
Huyu huyu ndio chaguo sahihi kwa wakati muafaka, watu soft soft sambamba na lile fisadi kuu la side b hawakupaswa kabisa kupewa nchi.Siku zote namlaumu aliyeteua hili jina sijui alikuwa akimkomoa nani kwa kweli kwanini aliwaacha watu na busara zao ma akili zao leo hii tulitakiwa tuwe tunaongozwa na Mark Mwandosya, Akina Mzee Pinda sasa hili janga hili sijui tutalibeba mbeleko gani kwa kweli...
Mungu tunusuru tunakoelekea siko kabisa
Mnafki ni Mkatoliki anayehubiri chuki kipindi cha Kwaresma.Lema alikuwa anamuombea Rais kifo miezi michache iliyopita, tena kwa mbwembwe na kejeli unamuombea binadamu mwenzio asifikishe 2020, leo kwa unafiki anajidai kuhubiri upendo, huu unafiki Godbless J Lema unautoa wapi ?
Wengi mnachanganya kati ya mungu na Mungu.Jamaa ana roho mbaya sana na chuki za kutisha! Halafu anajifanya ni mcha Mungu!
Defenetely.Hmmm...ya kweli hayo?
Kuna nukuu ya Magufuli akisema hayo?
Defenetely.
Mwambie Lema aache kulia lia, yeye alikuwa tayari kumuombea binadamu mwenzie kifo tena kwa mbwembwe na kejeli, yeye alikuwa Nabii kazi kutabiria kifo wenzie ila leo analia lia kisa kutokusalimiwa, ajitakaze ana koromeo yeye kama wenzio wanavyompotezea anavyo watabiria kifo.Mnafki ni Mkatoliki anayehubiri chuki kipindi cha Kwaresma.
Uliza mafundisho ya kikatoriki ujuwe kwaresma ni nini au waulize waislamu ni kwa nini kuna mwezi wanauita ni mwezi mtukufu na ni mwezi wa haki na waislamu wanapashwa kutenda matendo gani.
Hiyo chuki dhidi ya serikali na dola raia hazaliwi nayo bali serikali na dola humfundisha. Serikali ndio ya kwanza kupenda na kutenda haki kwa raia then raia love back the government.Na upinzani munawajibu wa kuhubiri haya uliyoyasema kwa wanachama wa wapenzi wenu, Chadema mna wanachama na wapenzi wenye chuki kwa serikali na dola kwaujumla. Kila mmoja anamuhitaji wenzake kwa njia moja au nyingine.
Usilinganishe kauli za Lema na za mkuu wa nchi. Kauli za amiri jeshi zina athari wewe !!!Lema alikuwa anamuombea Rais kifo miezi michache iliyopita, tena kwa mbwembwe na kejeli unamuombea binadamu mwenzio asifikishe 2020, leo kwa unafiki anajidai kuhubiri upendo, huu unafiki Godbless J Lema unautoa wapi ?
Jiridhishe kwa kununua magazeti ya leo hujachelewaMagu kasemaji?
Unaweza kunipa nukuu nzima ya alichokisema?
what the issue behind? unajua adhabu ya kosa la kuota la Lema?Kumpenda mtu isiwe one way traffic!
Yaani kutaka wewe tu upendwe lakini hutaki wewe kuwapenda wengine.
Hata kumuombea mtu mabaya sio upendo achilia mbali kutaka watu wasisalimiane au kususa futari yao .
Mbona hatukuona huo upendo au ushauri kwenye hii habari?
LINK==> CCM wazungumzia uamuzi wa wabunge wa UKAWA kutowasalimia
LINK==> Saed Kubenea ataka wabunge wa UKAWA wenye wapenzi wao CCM wawasuse
LINK==> Wabunge wa UKAWA wasusa futari ya Waziri Mkuu
Ama kweli mkuki kwa Nguruwe ni mtamu...
It's very easy to act as victim wakati wewe ndiye aggressor.
Inanikumbusha kwenye football ambapo mchezaji anamtemea mate mchezaji mwingine ambapo yule aliyetemewa mate anapatwa na hasira na kurusha kofi au ngumi. Referee ataona mwenye makosa ni yule aliyerusha kofi au ngumi na hapohapo atampatia kadi nyekundu.