Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Hapo ukichambua huwezi mkosa mkuu wa wilaya ya hai.ushauri wangu chadema msiwe mabwege, mlie wote.
 
Baba ako anakula kupitia CCM sio kosa lako
 
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Hatutaishi milele sifa ya mtu kufa sometimes inatakiwa mmoja uumie ili wengine wapate ukombozi CCM haina tofauti na ukoloni.
 
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Siku mkutano wa Jpm utakapopigwa mawe utaona faida yake
 
Sasa Wameshambuliwa Na Nani
Mbona Habari Hujaivisha Nguo Ikaeleweka
Ofisi Imechomwa Usiku Wewe Unasema Saa Hizi
Umefika level ipi kielimu ?
Ofisi zimeungua Arusha
Shambulio limetokea Hai Kilimanjaro, unashindwa kuelewa hapo ni nini ?

Ccm hatutaki watu vilaza.
 
Yaani magari tu ndo yanaharibiwa!
WWatu wote wako salama!
Amechokoza were, ameona hajibiwi ,Sasa ameamua kujifanyia usanii!
Jana ofisi ilichomwa, mafaili yakaungua, mlinzi akakimbia akaacha bunduki!
Hiyo ndiyo chadema
Kuikwamua nchi kutoka kwa wala na watoa rushwa si kazi rahisi
 
Unamaanisha jeshi letu la polisi ni dhaifu hadi limeshindwa kumdhibiti Mbowe ?
 
Natetemeka kwa hasira. Ngoja nikae kimya
 
Wewe hata ukini quote hunipati maana nilisha kupiga ban
Utanyooka tu angalia hapa chini wananchi wakimkataa mwenyekiti wenu wa maisha.
Your browser is not able to display this video.
 
Yaonekana wewe ndie uliepanga na kutekeleza fujo hizo huko Hai.
Lakini unapoteza muda wako na wa kikundi chako bure, baada ya kufilisika hoja.
Huu ni mtiririko wa njama zenu za kitoto kwa zaidi ya miaka minne, lakini zimeshindwa na hazitakuja fanikiwa kubadilisha mvuto kutoka mioyoni kwa Lissu, Mbowe wala Upinzani wa kweli.
Hayo ni mateke ya punda anaeishiwa UHAI.
AMEN
 
Angalia hapa chini wanahai wasivyomtaka huyo Faru John.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…