Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hayo unasema weweSiyo msafara. Mkutano wa kampeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo unasema weweSiyo msafara. Mkutano wa kampeni
Unaelewa ulichoandika wewe mataga???Mtanyooka tu! This gov. is supersonic!!
Ndo yaleyale, mwenyekiti wa Chadema amevamiwa na kujeruhiwa mguu.Sasa Wameshambuliwa Na Nani
Mbona Habari Hujaivisha Nguo Ikaeleweka
Ofisi Imechomwa Usiku Wewe Unasema Saa Hizi
Kweli !?..na DC analindwa na mabeberu.?..huu Ni ujinga ,haya mawazo kuwa mabeberu wanaichukia nchi yetu Ni upumbavu!The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation...
Kweli !?..na DC analindwa na mabeberu.?..huu Ni ujinga ,haya mawazo kuwa mabeberu wanaichukia nchi yetu Ni upumbavu!
Hivi sio wao ndio tunasema wameitangaza Tz kuwa Uchumi wake unapaa, mbona hatukutaa
Kwahiyo unataka kutuambia wale vijana waliofanya fujo ni vijana toka Brussels wametumwa na mabeberu.The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation...
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Ni Vijana Wanaotumiwa na Mapapa Ya Ukuwadi Kutoka Nje....Kwahiyo unataka kutuambia wale vijana waliofanya fujo ni vijana toka Brussels wametumwa na mabeberu.
Mkuu wanajf wepi unaowasemea? Makamanda mnakwama wapi?Wewe na baba ako labda ...wana jf ni lisu kwa kwenda mbele
Lissu na zitto Ni wapinzaniUnaleta historia na TANTRUMS za Nyuma Huko....
Mambo Mapya Ya Sasa Yanasikitisha...
Hao mabeberui mpska mwaks huu unaisha wadhakuchskazs na mimba juu, *****The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation...