Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Channel zipo nyingi zenye kuonesha hayo matukio ya lisu ni nguvu kukuta ni ipikama wewe mwenyew umeshindwa kutaja hiyo channel umeshapoteza point hapa

Bahati mbaya sikujua hili litakuwa na umuhimu. Maana hata Mbowe na Nyalandu wakipitia hapa watashangaa kumbe tulistukiwa. Anyway wakati mwengine nitakuwa makini na Zile Ws. When, where, what,Who nk nk.
 
Tukio la uvamizi wa msafara wa Lisu linatia kinyaa na limazidi kumchafua Magufuli na serikali yake.

Tukio hili linaongeza chuki na hasira kwa watanzania wanaoamini kuwa Magufuli ni dikteta, hana utu, mbabe na mshari.

Tukio hili linaongeza orodha ya matukio mabaya yaliyowahi kutokea nchi hii kama:-
Kupotea kwa Azory Gwanda na Ben Saanane, kushambuliwa kwa risasi kwa kamanda Tundu Lisu, e.t.c
Na wengine wengi.

Matukio haya yanazidi kumchafua JPM na serikali yake mioyoni na akilini mwa wapiga kura. Na hivyo wananchi wanamuona kuwa anaogopa kupambana naLisu jukwaani.

Kuiepuka balaa hii kipindi hiki Cha uchaguzi, Magufuli aachane na tabia ya kumuona Lisu kuwa ni adui. Ajielekeze kweye sera na ahadi zake.
Hili ni tukio la kiuoga na kimkakati lenye lengo la kutoa utisho kwa CDM. Huku ofisi za kanda zinachomwa moto, huku msafara unapigwa mawe, kule tume inatoa kauli za kutaka kuwaengua baadhi ya wagombea ifikapo tarehe 25-08-2020 huku mlengwa akionekana wazi.

Kule kesi za uchochezi zikishinikizwa kusikilizwa kwa haraka pasipo kuzingatia mazingira ya kisiasa ya sasa, kule vyombo vya dola na vya habari vikipewa maagizo ya kwenda kinyume na maadili yao ya kazi, muda ni mchache bali mambo ni mengi.
 
Mangula nae atakua ameiga chadema tabia ya kujidhuru sio?

Ile sumu vipi alipona?

Wewe uko dunia gani? Maana tetemeko la 5.9 lilipopita Tanzania kishindo kililisika na kikaongelewa dunia nzima.
 
Tukio la uvamizi wa msafara wa Lisu linatia kinyaa na limazidi kumchafua Magufuli na serikali yake.

Tukio hili linaongeza chuki na hasira kwa watanzania wanaoamini kuwa Magufuli ni dikteta, hana utu, mbabe na mshari.

Tukio hili linaongeza orodha ya matukio mabaya yaliyowahi kutokea nchi hii kama:-
Kupotea kwa Azory Gwanda na Ben Saanane, kushambuliwa kwa risasi kwa kamanda Tundu Lisu, e.t.c
Na wengine wengi.

Matukio haya yanazidi kumchafua JPM na serikali yake mioyoni na akilini mwa wapiga kura. Na hivyo wananchi wanamuona kuwa anaogopa kupambana naLisu jukwaani.

Kuiepuka balaa hii kipindi hiki Cha uchaguzi, Magufuli aachane na tabia ya kumuona Lisu kuwa ni adui. Ajielekeze kweye sera na ahadi zake.
Instagram media - CD4QIH7ga2b ( 476 X 640 ).jpg
 
Tunawapeni salaam nyinyi wahutu kuwa cdm ikiingia madarakani lazima wahamiaji haramu wote mrudi kwenu Burundi
Nyinyi ni watutsi? - nafikitlri neno wahutu hujui maana yake! Ni kama watoto niliowasikia hapo zamani wanatukanana mmoja akasema - Vuladvostok, Java, Sumatra and Philippines islands!

Ndio yako sasa! Sijui umesoma mpaka kiwango gani, maana kama mtanzania mwenye heshima na uelewa huwezi kutumia maneno kama mhutu, mkalenjini, muyoruba etc. Kuonyesha dharau kwa wenzako!
 
Wewe uko dunia gani? Maana tetemeko la 5.9 lilipopita Tanzania kishindo kililisika na kikaongelewa dunia nzima.
Na yale manati ya kwny kipago wameyafanyia subsitution method ili yawe mkabala wa mpunyenye uweze kusogezwa kwa kiwango cha ritcher.

Lkn sio mbaya mkuu maana circle ya kipaimara iko parallel kutokea usawa wa bahari kwenda kwny technical plates ambayo italeta Gamma Rays zenye tofauti ya +/- 0.7%
Ee1QR__XgAEmgYI.jpg
 
Ukishachukua fomu ya kugombea Urais, lazima jeshi la Polisi litoe Askari wa kukulinda...
Hata mimi naamini hivyo na hata Lissu mwenyewe alilisema hilo kisheria.
Lakini ukisoma bandiko lenyewe kuna mahali wameandika kwamba polisi walikuwepo na wameangalia tu bila kuchukua hatua zozote.

Nadhani kwa kukosa ulinzi wa polisi ndio likichopelekea mkutano husifanyike.

Pia rejea kauli ya IGP alipo ulizwa juu yakumkamata Lissu. Pamoja na maelezo mengine lakini aliweka wazi kwamba watampatia polisi wakumlinda kama atapitishwa na (tume ya uchaguzi) kuwa mgombea urais.

Hivyo ukitafsiri kauli ya IGP na kilichoandikwa kwenye mada husika utapata jibu kwamba pamoja na kuwepo polisi katika tukio lakini suala la ulinzi kwa Lissu ni adi atakapo pitishwa na tume ya uchaguzi.
 
Very well said Mtende 👊🏽👊🏽

Ni kweli hapendi kabisa ndio maana wanaoyafanya wamechukuliwa hatua za haraka na polisi wanafanya kazi usiku na mchan akuhakikisha haya matukio hayapo

Isitoshe polisi wanaongoza kukamata wapinzani kuliko kukamata wahalifu, hii nguvu wanapata wapi kama sio maagizo kutoka kwa boss
 
Hao wahuni wangekuja huku mbeya cha moto wangekiona na hayo mawe yao yangewarudia mbona tungewaroga.
 
Hili ni tukio la kiuoga na kimkakati lenye lengo la kutoa utisho kwa CDM. Huku ofisi za kanda zinachomwa moto, huku msafara unapigwa mawe, kule tume inatoa kauli za kutaka kuwaengua baadhi ya wagombea ifikapo tarehe 25-08-2020 huku mlengwa akionekana wazi, kule kesi za uchochezi zikishinikizwa kusikilizwa kwa haraka pasipo kuzingatia mazingira ya kisiasa ya sasa, kule vyombo vya dola na vya habari vikipewa maagizo ya kwenda kinyume na maadili yao ya kazi, muda ni mchache bali mambo ni mengi.
Hujuma Kama hizi viongozi wa dini hawazioni wanasubiri jumapili ifike tuwapelekee sadaka zetu// kwa maisha haya yaliyoletwa na hiki chama jitu halifanyi kazi basi kemea hata uovu liko kiiiiimya linasubiri our hard erned money likanywee bia.
 
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai

Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Taarifa kamili kuwajia"

Hujapata taarifa kamili bado!
 
Kwenye kizazi changu atakayekuja kuwa polisi au kujiunga na ccm na alaaniwe
 
Na yale manati ya kwny kipago wameyafanyia subsitution method ili yawe mkabala wa mpunyenye uweze kusogezwa kwa kiwango cha ritcher.

Lkn sio mbaya mkuu maana circle ya kipaimara iko parallel kutokea usawa wa bahari kwenda kwny technical plates ambayo italeta Gamma Rays zenye tofauti ya +/- 0.7%View attachment 1537412

Hiyo mionzi, sijui manati, kipago, sijui ricin, na vya aina yake, havifui dafu kwa ile nguvu ya miguu ya wakoma iliyotoa kishindo jeshi likatoka nduki na likaacha raslimali zake zote. Haiambulii kitu kwa kombeo la Daudi lilomdondosha Goliati.

Watakuja kwa njia moja watatawanyika kwa njia saba. Watakanyaga nge na nyoka, watanyeshwa sumu zitaishia patupu. Niendelee....
 
Back
Top Bottom