Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Kwa nini CHADEMA hawakujibu mashambulizi? CHADEMA mnakera, mnakuwa kama viwete wanaotembea kwa kujiburuza. Hao wahuni mlitakiwa mlale nao mbele na nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?Hapo sasa wale watu wa usalama wameshatoa taarifa kwa rais kuwa huwezi kushinda uchaguzi na matokeo yake ndio haya yanayoonekana sasa.
Huu ni mkakati ulioandaliwa mahususi na tayari polisi wamepewa maagizo wasiingilie, wajifanye tu kama vile hawaoni.
Tumeongea mno humu mara kadhaa kuwa hakuna kitu Magufuli anaogopa maishani mwake kama ushindani na hili alilifanya toka akiwa mbunge.
Chadema sasa itabidi waamke kwani kwa style hii hawataweza kufanya kampeni. Waitishe mkutano na vyombo vya habari vya ndani na nje waliongelee hili kwa sauti kubwa kabisa kwani huko tuendako inaonekana wana mpango wa kumwaga damu kwani wako very desperate.
Dikteta aheshimiki, ni muhuni na mwendawazimu katika maamuzi yake.Ass!
J.P.M lazima ashinde uchaguzi kwa kuwa anakubalika mjini na vijijini ila hawa wanaofanya vurungu wanabidi wakamatwe haraka maana nia yao ni kutia Dosari ushindi wa Raisi J.P.M
Red brigade hawakuwapo jamani? Walipaswa kuwakabili ili tuone polisi watafanyaje! Kulialia haitakiwi kabisa!Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Taarifa kamili kuwajia"
Tunajua msafara wa Lissu hauna ulinzi wa Polisi, lakini kivyovyote vile ni lazima kuna ulinzi wangalau wa chama. Hivi hao walinzi wameshindwaje kukamata wangalau muhuni mmoja nakumfikisha kituo cha polisi? Pamoja na kwamba wakimfikisha angeachiwa baada ya wao kuondoka lakini itakuwa wamechukua atua, ama ndio tusubiri hiyo taarifa kamili?Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Taarifa kamili kuwajia"
Hopeless thread ever!!
Mataga wawili wameenda na maji mjomba.Kwa nini CHADEMA hawakujibu mashambulizi? CHADEMA mnakera, mnakuwa kama viwete wanaotembea kwa kujiburuza. Hao wahuni mlitakiwa mlale nao mbele na nyuma.
Kaskazini Chadema hawamtaki Lisu
Jimbo la Hai Ni ngome ya Mbowe anashambuliwaje?
Mwambieni hatukutaki Lisu
Chaguo la akina Mbowe alikuwa Nyalandu
Lisu Kaskazini hawataki mgombea Maskini Ndani ya Chadema na hawako tayari kutoa pesa zao za kampeni watakuwa wanaona kichefu chefu ndio maana wakamshambulia msafara wake
Mbowe anajua matajiri wa kichaga hawamtaki Lisu si angemwambia Lisu akatafute wadhamini mikoa mingine Kama Tanga nk kwani lazima iwe Kilimanjaro?
Yani mtu ukimuambia tu msafara wa Lissu umevamiwa Hai, anakuambia sabaya ndiyo muhusika.Kaskazini Chadema hawamtaki Lisu
Jimbo la Hai Ni ngome ya Mbowe anashambuliwaje?
Mwambieni hatukutaki Lisu
Chaguo la akina Mbowe alikuwa Nyalandu
Lisu Kaskazini hawataki mgombea Maskini Ndani ya Chadema na hawako tayari kutoa pesa zao za kampeni watakuwa wanaona kichefu chefu ndio maana wakamshambulia msafara wake
Mbowe anajua matajiri wa kichaga hawamtaki Lisu si angemwambia Lisu akatafute wadhamini mikoa mingine Kama Tanga nk kwani lazima iwe Kilimanjaro?
Na hawa hapa walitumwa na DC? Jibuni hoja za wanahai hawa haHicho alichosema huyo bwana ni ukweli wa asilimia 100. Hii ni zaidi ya mara moja hapo kwenye jimbo la Hai viongozi wa Cdm kupigwa mawe. Kama mtu hatakiwi utaratibu wetu ni kupitia box la kura, lakini matumizi ya mawe huo ni uhalifu wala sio siasa. Na huyo DC mara zote amekuwa akiaagiza vitendo hivyo, na polisi huwa wanakaa kimya maana huo uhalifu huwa unafanyika mbele yao.
Wachaga au?Yani mtu ukimuambia tu msafara wa Lissu umevamiwa Hai, anakuambia sabaya ndiyo muhusika.
Matokeo ya huu ujinga mmepoteza green guard wawili leo wamekwenda na maji familia zinaumia huko.
Ukishachukua fomu ya kugombea Urais, lazima jeshi la Polisi litoe Askari wa kukulinda...Tunajua msafara wa Lissu hauna ulinzi wa Polisi, lakini kivyovyote vile ni lazima kuna ulinzi wangalau wa chama. Hivi hao walinzi wameshindwaje kukamata wangalau muhuni mmoja nakumfikisha kituo cha polisi? Pamoja na kwamba wakimfikisha angeachiwa baada ya wao kuondoka lakini itakuwa wamechukua atua, ama ndio tusubiri hiyo taarifa kamili?
Na nasikia mh Sugu nae amekamatwa kwa kosa la kuruhusu maandamano (kusindikizwa kuchukua fomu).
Lakini tuliaminishwa kwamba ifikapo 2020 hakutakuwa na vyama vya upinzani tena, na kuna watu waliamini hivyo nakuamua kuunga mkono juhudi. Sasa hizi nguvu na sarakasi zinazotumika ni za nini? Kama wanaamini upinzani umekufa si wangesubiri tarehe ifike wakaapishane maisha yaendelee.
Ama hawakujua kwamba maji ukiyajengea ukuta ili kuyazuia siku bwawa likijaa ama likitokea tundu ndio yanapotoka kwa wingi na nguvu zaidi kuliko kawaida?
Kwani lini ulimpenda JPM??!!Moyo Wangu umekuwa mzito naanza kumuona JPM kama mhalifu. Mungu mkuu tunaomba uiokoe Tanzania wakati ni huu mungu wetu.kama Kuna mahali TAIFA limekukosea tuonyeshe tutubu. thanks
Chadema kaskazini tunamtaka kamanda TALKaskazini Chadema hawamtaki Lisu