Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Yaani cha kushangaza kuna watu hapa watatetea waleta fujo, wachoma ofisi, wavamiaji. Kama tulivyosema ukiwapata watu kwenye mioyo hakuna wa kuzuia. Wanatengeneza mazingira ya fujo halafu wasingizie upinzani!!!
Mbowe alipovunjika mguu alisingizia nini?Wako watu wana akili za kusahau kama kuku broilers.
Huyo kijana alieuliwa wako hao ambao wamekamatwa tayari wengine wataingia kwenye kesi ya maauji, wahanga wa hadaa za kisiasa. Lissu na genge lake wanafurahia mradi wa kesi mwingine huo.