Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Mmefanya siasa kwa miaka mitano peke yenu hakuna aliyewafanyia fujo acheni na wenzenu wafanye siasa kama hammpendi mtu mkataeni kwenye uchaguzi na sio kumponda mawe.

Mnapofanya fujo mnamharibia mgombea wa CCM na si mgombea wa Chadema, watanzania ni wastaarabu na wapole kadri mnavyofanya fujo ndivyo mnavyojipunguzia kura za wastaarabu.

 
Ndugu unafikiri kote alikopita Lissu kuanzia Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza , Musoma na Manyara hakuna wana CCM? Kwa nini kote huko hazikutokea fujo?

Huu ni upumbavu uliofanywa na viongozi wa CCM Arusha na Hai hasa Sabaya kuandaa hao vijana na kuwalipa wafanye fujo!

Wewe hujasikia huyo kijana karopoka hapo Eti tuko tayari kumlinda DC???? Dc anahusika nini na vikao vya Chadema?

Huyu Sabaya sasa ni wakati sahihi afundishwe kuwa Kuna nguvu ya umma behind Lissu!!! Kuna uwezekano wa asilimia hata 90 kuwa yeye ndo amehusika kutuma watu kuchoma ofisi za Chadema Arusha!!!
 
The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation.

Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana Johñson Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.

I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania.

MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!

Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.

Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.

Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.
 
Sasa Wameshambuliwa Na Nani
Mbona Habari Hujaivisha Nguo Ikaeleweka
Ofisi Imechomwa Usiku Wewe Unasema Saa Hizi
Ndo yaleyale, mwenyekiti wa Chadema amevamiwa na kujeruhiwa mguu.

Ikawa wakamatwe! Wakamatwe! Kumbe pombe.

Matukio haya yakitokea, lawama moja kwa moja CCM. Chadema wana akili mbovu. Hutendeana haya wakijua wa kulaumiwa ni CCM.

Huu ni ujinga unaostahili kutibiwa.

Msafara wa kwenda wapi? Kwani ni muda wa kampeni? Kwanini hawa zero brain wasitulie, kiongozi wao afike, aongee aondoke? Wanalundamana ili iweje? Huo mkusanyiko wanaomba ulinzi polisi?

Ninawapenda sana upinzani lakini ujinga mwingi hadi nakosa hamu kuwashabikia.
 
The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation...
Kweli !?..na DC analindwa na mabeberu.?..huu Ni ujinga ,haya mawazo kuwa mabeberu wanaichukia nchi yetu Ni upumbavu!
Hivi sio wao ndio tunasema wameitangaza Tz kuwa Uchumi wake unapaa, mbona hatukutaa!

Dhana ya Ubeberu ilikuwa inatumika na nchi za Kijamaa ,kushambulia Nchi za Magharibi...tuliimbishwa wimbo huu bila kutafakari!
Hivi hujui kuwa kabla ya February 1990 Makaburu walikuwa Mabeberu....baaada ya hapo wakawa Wawekezaji!?

Hata aliye ufufua huu msemo/Dhana ukimwambia andika sentensi 2 kuhusu maana ya Ubeberu hawezi na haelewi!
 
Ila huyu DC wa hapo Hai ana mambo ya ajabu sana, Wanataka kuchafua taswira ya Uchaguzi ila tu Magufuli ni Uhakika kushinda tena asubuhi tu anachukua nchi
 
Kwa mujibu wa sherua ya vyama vingi, mgombea wa urais akishapitishwa na chama chake, anatakiwa kupewa ulinzi wa jeshi la polisi. Jee Lissu halindwi na polisi?
 
Kwanza hiyo video imeandaliwa na jamvi TV wale wamiliki wa gazeti la jamvi la habari ndiyo walewale wajinga wa Lumumba buku7 .
Propaganda za mwaka 47 bado zinatumika.

Kipindi hiki? Ifike wakati hata raisi magufuli awaonye baadhi ya watendaji wake juu ya propaganda za kishamba
 
Hivi mtu mpaka upate uchungu eti magu anaambiwa hajajenga kitu unatoka wapi mbona mm sina hicho kipaji au hao vijana ni wanauchungu Sana na ccm au aisee sielewi atukanwe lissu,magu na wengine wewe mtu ambae hujatukanwa unaanzaje kuumia
 
Huyu sabaya sasa huu ni wakati kwa Watanzania kumuonyesha wazi kuwa hatutaki upuuzi wake. Ni wakati sasa umma wa watanzania tumjibu na sina mashaka umma wa watanzania utamjibu soon.

Hii nchi haiwezi tena kuwa chini ya hawa wapuuzi. Hawa wapuuzi sehemu yao ni kwenye vijiwe vya wahuni wenzao ila sio kwenye ofisi za umma!
 
Kweli !?..na DC analindwa na mabeberu.?..huu Ni ujinga ,haya mawazo kuwa mabeberu wanaichukia nchi yetu Ni upumbavu!
Hivi sio wao ndio tunasema wameitangaza Tz kuwa Uchumi wake unapaa, mbona hatukutaa

Unaleta historia na TANTRUMS za Nyuma Huko.

Mambo Mapya Ya Sasa Yanasikitisha....

Mbona Mambo Ni Mengi Mwayego....

Wabunge Wa CDU(maswahiba Wa Chadema)walitupinga Kuwa na Mradi Ule Wa Ufuaji Umeme Mwalimu Nyerere Pale Rufiji....

Hawakutaka Kutuona Tunapata Megawati 2200....

Wakiwa Bundestag,BUNGE Lao wakapinga kwa nguvu zote kuwa TUTAHARIBU MAZINGIRA YA SELOUS....ilihali Serikali ya Tanzania ilishapewa TAA YA KIJANI na UNESCO Kuendelea na MRADI,baada ya UNESCO kuridhishwa na ule mpango Wa Kutumia tu 3% Ya Eneo Lile..

CDU wakajisahau na Kuendelea Kupinga huku kwao KUKIONGOZA kwa kuwa na VIWANDA VINGI,vilivyojengwa baada ya kuteketezwa maelfu kwa Malaki ya HEKA,je wao hawathamini BAIYONUWAI ya kimazingira wanayotupa HIMA sisi?!!!!!

Lissu,Zitto na Wengineo Waliwaunga Mkono CDU Kuendelea kuuzodoa Mpango Ule Wa Rufiji.......

Cutting Long Story Short,Makinikia,Madini,na hii miradi imewaamsha mabwana WAKUBWA na Sasa Wanataka KUJIPENYEZA kwa kuwatumia hao mabarakala Wa KISIASA.....

Kataa Vurugu
Wakatae VIBARAKALA Wachumia Matumbo.
Isalimishe Nchi Yako Pendwa na Hila za Kishetani Na Kihayawani.
 
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi

Wewe na baba ako labda ...wana jf ni lisu kwa kwenda mbele
 
Unaleta historia na TANTRUMS za Nyuma Huko....

Mambo Mapya Ya Sasa Yanasikitisha...
Lissu na zitto Ni wapinzani
Kazi Yao ni kupinga

Unataka wafanye kzi gani tofauti na hiyo?

Wakianza kuunga mkono tutawauliza kuna haja gani ya wao kuwa wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…