We unaona ni wapiMkuu wanajf wepi unaowasemea? Makamanda mnakwama wapi?
Ndugu unafikiri kote alikopita Lissu kuanzia Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza , Musoma na Manyara hakuna wana CCM??? Kwa nini kite huko hazikutokea fujo????
Huu ni upumbavu uliofanywa na viongozi wa CCM Arusha na Hai hasa Sabaya kuandaa hayo vijana na kuwalipa wafanye fujo!!!
Wewe hujasikia huyo kijana karopoka hapo Eti tuko tayari kumlinda DC???? Dc anahusika nini na vikao vya Chadema??????
Huyu Sabaya sasa ni wakati sahihi afundishwe kuwa Kuna nguvu ya umma behind Lissu!!! Kuna uwezekano wa asilimia hata 90 kuwa yeye ndo amehusika kutuma watu kuchoma ofisi za Chadema Arusha!!!
Lissu na zitto Ni wapinzani
Kazi Yap ni kupinga
Unataka wafanye kzi gani tofauti na hiyo?
Wakianza kuunga mkono tutawauliza kuna haja gani ya wao kuwa wapinzani?
Hao Ni Mapandikizi tu....Ndugu unafikiri kote alikopita Lissu kuanzia Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza , Musoma na Manyara hakuna wana CCM??? Kwa nini kite huko hazikutokea fujo????
Huu ni upumbavu uliofanywa na viongozi wa CCM Arusha na Hai hasa Sabaya kuandaa hayo vijana na kuwalipa wafanye fujo!!!
Wewe hujasikia huyo kijana karopoka hapo Eti tuko tayari kumlinda DC???? Dc anahusika nini na vikao vya Chadema??????
Huyu Sabaya sasa ni wakati sahihi afundishwe kuwa Kuna nguvu ya umma behind Lissu!!! Kuna uwezekano wa asilimia hata 90 kuwa yeye ndo amehusika kutuma watu kuchoma ofisi za Chadema Arusha!!!
Nadhani kwenye vitimbwi hivi, Lissu hajaumizwa. Hivyo, kuna uwezekano mkubwa sheria inatekelezeka!Kwa mujibu wa sherua ya vyama vingi, mgombea wa urais akishapitishwa na chama chake, anatakiwa kupewa ulinzi wa jeshi la polisi. Jee Lissu halindwi na polisi?
Umeona mapanga wa Chadema??? Au umelishwa hiyo propaganda na hao wahuni wa Sabaya???? Hujaiona hao wahuni wa sabaya wakirusha mawe wakati Lissu anaongea hadi wananchi wanaonba kwa viongozi wa Chadema wawajibu???? Wewe mpuuzi nini???Na nyie mapanga na mawe, rungu mlikuwa nazo za nini?
Pale kulikuwa na vita?
Hao vijana wamefundishwa uelewa,
Huwezi kumwambia mtu mwenye akiri yake kuwa hakuna kilichofanyika wakati macho anayo na anaona mwenyewe.
Matokeo yake ndo hayo
Watu wanachoka na uongo na uchonganishi.
Hakuna cha mabeberu hapo . Ni upumbavu Tu wa baadhi ya WaTz . Kwani Lissu kutafuta wadhamini ni kosa ?!. Ni wapi pameandikwa mgombea wa Ccm yeye awasemee mbovu wagombea wengine !!. Ila wao wakijibu ni kosa !!.The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation......
Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana Johñson Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.....
I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania......
MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!
Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.....
Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.
Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.
Aikujibu sahihi nishtue!Kwahiyo unataka kutuambia wale vijana waliofanya fujo ni vijana toka Brussels wametumwa na mabeberu.
Hii clip inaonyesha dhahiri kwamba the whole game was fabricated.
Yule kijana aliyesikika akisema "tutamlinda DC" katumwa na mabeberu?Ni Vijana Wanaotumiwa na Mapapa Ya Ukuwadi Kutoka Nje....
Miradi gani ambayo Mabeberu ' wanatuonea wivu....kwani fedha za mikopo yake tumezipata wapi!Unaleta historia na TANTRUMS za Nyuma Huko....
Mambo Mapya Ya Sasa Yanasikitisha....
Mbona Mambo Ni Mengi Mwayego....
Wabunge Wa CDU(maswahiba Wa Chadema)walitupinga Kuwa na Mradi Ule Wa Ufuaji Umeme Mwalimu Nyerere Pale Rufiji....
Hawakutaka Kutuona Tunapata Megawati 2200....
Wakiwa Bundestag,BUNGE Lao wakapinga kwa nguvu zote kuwa TUTAHARIBU MAZINGIRA YA SELOUS....ilihali Serikali ya Tanzania ilishapewa TAA YA KIJANI na UNESCO Kuendelea na MRADI,baada ya UNESCO kuridhishwa na ule mpango Wa Kutumia tu 3% Ya Eneo Lile.....
CDU wakajisahau na Kuendelea Kupinga huku kwao KUKIONGOZA kwa kuwa na VIWANDA VINGI,vilivyojengwa baada ya kuteketezwa maelfu kwa Malaki ya HEKA,je wao hawathamini BAIYONUWAI ya kimazingira wanayotupa HIMA sisi?!!!!!
Lissu,Zitto na Wengineo Waliwaunga Mkono CDU Kuendelea kuuzodoa Mpango Ule Wa Rufiji.......
Cutting Long Story Short,Makinikia,Madini,na hii miradi imewaamsha mabwana WAKUBWA na Sasa Wanataka KUJIPENYEZA kwa kuwatumia hao mabarakala Wa KISIASA.....
Kataa Vurugu
Wakatae VIBARAKALA Wachumia Matumbo.
Isalimishe Nchi Yako Pendwa na Hila za Kishetani Na Kihayawani.
Ni mpaka atakapopitishwa na Tume, siyo Chama chake. Hapo anapita kutafuta wadhamini tu.Kwa mujibu wa sherua ya vyama vingi, mgombea wa urais akishapitishwa na chama chake, anatakiwa kupewa ulinzi wa jeshi la polisi. Jee Lissu halindwi na polisi?
Unaanza Kuupinga Mradi halafu Mabwana Wa Nje Wanaongezea Frequency Ya Kupinga...huku Wakiwa Ni marafiki Kindakindaki Wa CHAMA CHENU....then Unapata bahati Mbaya Unapelekwa Karibu na Huko....Bado Wanaendelea Kuupinga Mradi....Unapona na Kuanza Kuzunguka Kwao na KUENDELEA KUUPINGA NA WAO WANAKUSAIDIA KUONGEZA frequency.....Lissu na zitto Ni wapinzani
Kazi Yap ni kupinga
Unataka wafanye kzi gani tofauti na hiyo?
Wakianza kuunga mkono tutawauliza kuna haja gani ya wao kuwa wapinzani?
Piga kura uwakatae kwenye sanduku la kura , siyo kufanya fujo kwenye mikutano yao !!. Mbona Ccm inafanya mambo mengi ya hovyo lakini hawafanyiwi fujo ?!Unaleta historia na TANTRUMS za Nyuma Huko....
Mambo Mapya Ya Sasa Yanasikitisha....
Mbona Mambo Ni Mengi Mwayego....
Wabunge Wa CDU(maswahiba Wa Chadema)walitupinga Kuwa na Mradi Ule Wa Ufuaji Umeme Mwalimu Nyerere Pale Rufiji....
Hawakutaka Kutuona Tunapata Megawati 2200....
Wakiwa Bundestag,BUNGE Lao wakapinga kwa nguvu zote kuwa TUTAHARIBU MAZINGIRA YA SELOUS....ilihali Serikali ya Tanzania ilishapewa TAA YA KIJANI na UNESCO Kuendelea na MRADI,baada ya UNESCO kuridhishwa na ule mpango Wa Kutumia tu 3% Ya Eneo Lile.....
CDU wakajisahau na Kuendelea Kupinga huku kwao KUKIONGOZA kwa kuwa na VIWANDA VINGI,vilivyojengwa baada ya kuteketezwa maelfu kwa Malaki ya HEKA,je wao hawathamini BAIYONUWAI ya kimazingira wanayotupa HIMA sisi?!!!!!
Lissu,Zitto na Wengineo Waliwaunga Mkono CDU Kuendelea kuuzodoa Mpango Ule Wa Rufiji.......
Cutting Long Story Short,Makinikia,Madini,na hii miradi imewaamsha mabwana WAKUBWA na Sasa Wanataka KUJIPENYEZA kwa kuwatumia hao mabarakala Wa KISIASA.....
Kataa Vurugu
Wakatae VIBARAKALA Wachumia Matumbo.
Isalimishe Nchi Yako Pendwa na Hila za Kishetani Na Kihayawani.
Kwahiyo unataka kutuambia wale vijana waliofanya fujo ni vijana toka Brussels wametumwa na mabeberu.
Yule Ni PANDIKIZI....Yule kijana aliyesikika akisema "tutamlinda DC" katumwa na mabeberu?
Hii ndiyo dalili hasa ya kushikwa na uwendawazimu. Kama kuna ndugu wa karibu mwombe akusindikize Mirembe.The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation......
Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana Johñson Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.....
I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania......
MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!
Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.....
Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.
Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.
SI Kila Mhisani Ni BEBERU,na SI kila Beberu Ni Mhisani.Miradi gani ambayo Mabeberu ' wanatuonea wivu....kwani fedha za mikopo yake tumezipata wapi!
Wakiwasifia mnadhangilia wakiwa wapinga Ni Mabeberu!