Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Ndugu unafikiri kote alikopita Lissu kuanzia Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza , Musoma na Manyara hakuna wana CCM??? Kwa nini kite huko hazikutokea fujo????

Huu ni upumbavu uliofanywa na viongozi wa CCM Arusha na Hai hasa Sabaya kuandaa hayo vijana na kuwalipa wafanye fujo!!!

Wewe hujasikia huyo kijana karopoka hapo Eti tuko tayari kumlinda DC???? Dc anahusika nini na vikao vya Chadema??????

Huyu Sabaya sasa ni wakati sahihi afundishwe kuwa Kuna nguvu ya umma behind Lissu!!! Kuna uwezekano wa asilimia hata 90 kuwa yeye ndo amehusika kutuma watu kuchoma ofisi za Chadema Arusha!!!

Na nyie mapanga na mawe, rungu mlikuwa nazo za nini?
Pale kulikuwa na vita?
Hao vijana wamefundishwa uelewa,
Huwezi kumwambia mtu mwenye akiri yake kuwa hakuna kilichofanyika wakati macho anayo na anaona mwenyewe.
Matokeo yake ndo hayo
Watu wanachoka na uongo na uchonganishi.
 
Lissu na zitto Ni wapinzani
Kazi Yap ni kupinga
Unataka wafanye kzi gani tofauti na hiyo?
Wakianza kuunga mkono tutawauliza kuna haja gani ya wao kuwa wapinzani?

Upinge kwa hoja na pia kwa kujenga, na sio kwa kubomoa
Hao wanapinga kwa kubomoa pia kwa kuchonganisha kwa uongo.
 
Ndugu unafikiri kote alikopita Lissu kuanzia Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza , Musoma na Manyara hakuna wana CCM??? Kwa nini kite huko hazikutokea fujo????

Huu ni upumbavu uliofanywa na viongozi wa CCM Arusha na Hai hasa Sabaya kuandaa hayo vijana na kuwalipa wafanye fujo!!!

Wewe hujasikia huyo kijana karopoka hapo Eti tuko tayari kumlinda DC???? Dc anahusika nini na vikao vya Chadema??????

Huyu Sabaya sasa ni wakati sahihi afundishwe kuwa Kuna nguvu ya umma behind Lissu!!! Kuna uwezekano wa asilimia hata 90 kuwa yeye ndo amehusika kutuma watu kuchoma ofisi za Chadema Arusha!!!
Hao Ni Mapandikizi tu....
 
Kwa mujibu wa sherua ya vyama vingi, mgombea wa urais akishapitishwa na chama chake, anatakiwa kupewa ulinzi wa jeshi la polisi. Jee Lissu halindwi na polisi?
Nadhani kwenye vitimbwi hivi, Lissu hajaumizwa. Hivyo, kuna uwezekano mkubwa sheria inatekelezeka!
 
Na nyie mapanga na mawe, rungu mlikuwa nazo za nini?
Pale kulikuwa na vita?
Hao vijana wamefundishwa uelewa,
Huwezi kumwambia mtu mwenye akiri yake kuwa hakuna kilichofanyika wakati macho anayo na anaona mwenyewe.
Matokeo yake ndo hayo
Watu wanachoka na uongo na uchonganishi.
Umeona mapanga wa Chadema??? Au umelishwa hiyo propaganda na hao wahuni wa Sabaya???? Hujaiona hao wahuni wa sabaya wakirusha mawe wakati Lissu anaongea hadi wananchi wanaonba kwa viongozi wa Chadema wawajibu???? Wewe mpuuzi nini???
 
The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation......

Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana Johñson Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.....

I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania......

MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!

Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.....

Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.

Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.
Hakuna cha mabeberu hapo . Ni upumbavu Tu wa baadhi ya WaTz . Kwani Lissu kutafuta wadhamini ni kosa ?!. Ni wapi pameandikwa mgombea wa Ccm yeye awasemee mbovu wagombea wengine !!. Ila wao wakijibu ni kosa !!.

Mkatae mtu kwenye kura na si kufanya fujo
 
Chama ambacho kimefilisika kihoja kimbilio lake pekee ni matendo ya kihuni, "organized crimes" na hata woga wa kukabiliana na nguvu ya umma. Hiki ni kipindi tu cha kutafuta wadhamini, ktk ktk matukio ya Tundu Lissu kukamilisha ratiba yake hii muhimu tuanza kuona matukio ya uchomaji wa ofisi, vijana kitumika kutupa mawe na hata kuongea uongo hadharani, ambao "circumstantially" unaonekana umetatibiwa na ole Sabaya.

Makada wa CCM, wapenzi na wafurukutwa wake, mtambue nyakati zimebadilika mno. Msitembee kwa kukalili dhuruma za wazi walizofanyiwa wapinzani bila majibu yoyote ama kuingia kwenye "confrontation" pale itakapopasa kufanya hivyo. Hakuna wala siri ya kuwa yanayotekea yana baraka za viongozi wenu na kwa kushirikisha baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola ambao kwa makusudi hawazingatii maadili wala weledi wa utendaji wao wa kazi.

Hivi mnafikiri tukiingia ktk kipindi cha kampeni, wapinzani wataaishi kikondoo kondoo tu huku wakiangalia matendo ya kifedhuli na kidhalimu kutoka vijana wenu wa UVCCM! Uhuni huu wa vijana hawa ni matokeo ya makuzi mabaya mliowapa nyinyi wenyewe. Kumbukeni tu haki huliinua taifa. Ni lazima muwakanye wawe wavumilivu dozi za kihoja ziingiapo akilini mwao.

Wasikalili tena kuwa pale wafanyapo matendo ya kihuni watachekewa tena. Wana CCM mtavuna kile ikipandacho.
 
Unaleta historia na TANTRUMS za Nyuma Huko....

Mambo Mapya Ya Sasa Yanasikitisha....

Mbona Mambo Ni Mengi Mwayego....

Wabunge Wa CDU(maswahiba Wa Chadema)walitupinga Kuwa na Mradi Ule Wa Ufuaji Umeme Mwalimu Nyerere Pale Rufiji....

Hawakutaka Kutuona Tunapata Megawati 2200....

Wakiwa Bundestag,BUNGE Lao wakapinga kwa nguvu zote kuwa TUTAHARIBU MAZINGIRA YA SELOUS....ilihali Serikali ya Tanzania ilishapewa TAA YA KIJANI na UNESCO Kuendelea na MRADI,baada ya UNESCO kuridhishwa na ule mpango Wa Kutumia tu 3% Ya Eneo Lile.....
CDU wakajisahau na Kuendelea Kupinga huku kwao KUKIONGOZA kwa kuwa na VIWANDA VINGI,vilivyojengwa baada ya kuteketezwa maelfu kwa Malaki ya HEKA,je wao hawathamini BAIYONUWAI ya kimazingira wanayotupa HIMA sisi?!!!!!

Lissu,Zitto na Wengineo Waliwaunga Mkono CDU Kuendelea kuuzodoa Mpango Ule Wa Rufiji.......

Cutting Long Story Short,Makinikia,Madini,na hii miradi imewaamsha mabwana WAKUBWA na Sasa Wanataka KUJIPENYEZA kwa kuwatumia hao mabarakala Wa KISIASA.....

Kataa Vurugu
Wakatae VIBARAKALA Wachumia Matumbo.
Isalimishe Nchi Yako Pendwa na Hila za Kishetani Na Kihayawani.
Miradi gani ambayo Mabeberu ' wanatuonea wivu....kwani fedha za mikopo yake tumezipata wapi!
Wakiwasifia mnadhangilia wakiwa wapinga Ni Mabeberu!
 
Lissu na zitto Ni wapinzani
Kazi Yap ni kupinga
Unataka wafanye kzi gani tofauti na hiyo?
Wakianza kuunga mkono tutawauliza kuna haja gani ya wao kuwa wapinzani?
Unaanza Kuupinga Mradi halafu Mabwana Wa Nje Wanaongezea Frequency Ya Kupinga...huku Wakiwa Ni marafiki Kindakindaki Wa CHAMA CHENU....then Unapata bahati Mbaya Unapelekwa Karibu na Huko....Bado Wanaendelea Kuupinga Mradi....Unapona na Kuanza Kuzunguka Kwao na KUENDELEA KUUPINGA NA WAO WANAKUSAIDIA KUONGEZA frequency.....

Mmmh smth FISHING......
 
Swali la msingi nani alianza kuchochea vurugu na kwa maslahi ya nani?
Je wabeba mabango walikuwa wamepangwa ?
Je nani aliandaa kikosi cha bakola, madhumuni yake ni nini?
 
Unaleta historia na TANTRUMS za Nyuma Huko....

Mambo Mapya Ya Sasa Yanasikitisha....

Mbona Mambo Ni Mengi Mwayego....

Wabunge Wa CDU(maswahiba Wa Chadema)walitupinga Kuwa na Mradi Ule Wa Ufuaji Umeme Mwalimu Nyerere Pale Rufiji....

Hawakutaka Kutuona Tunapata Megawati 2200....

Wakiwa Bundestag,BUNGE Lao wakapinga kwa nguvu zote kuwa TUTAHARIBU MAZINGIRA YA SELOUS....ilihali Serikali ya Tanzania ilishapewa TAA YA KIJANI na UNESCO Kuendelea na MRADI,baada ya UNESCO kuridhishwa na ule mpango Wa Kutumia tu 3% Ya Eneo Lile.....
CDU wakajisahau na Kuendelea Kupinga huku kwao KUKIONGOZA kwa kuwa na VIWANDA VINGI,vilivyojengwa baada ya kuteketezwa maelfu kwa Malaki ya HEKA,je wao hawathamini BAIYONUWAI ya kimazingira wanayotupa HIMA sisi?!!!!!

Lissu,Zitto na Wengineo Waliwaunga Mkono CDU Kuendelea kuuzodoa Mpango Ule Wa Rufiji.......

Cutting Long Story Short,Makinikia,Madini,na hii miradi imewaamsha mabwana WAKUBWA na Sasa Wanataka KUJIPENYEZA kwa kuwatumia hao mabarakala Wa KISIASA.....

Kataa Vurugu
Wakatae VIBARAKALA Wachumia Matumbo.
Isalimishe Nchi Yako Pendwa na Hila za Kishetani Na Kihayawani.
Piga kura uwakatae kwenye sanduku la kura , siyo kufanya fujo kwenye mikutano yao !!. Mbona Ccm inafanya mambo mengi ya hovyo lakini hawafanyiwi fujo ?!
 
Y
Yule kijana aliyesikika akisema "tutamlinda DC" katumwa na mabeberu?
Yule Ni PANDIKIZI....
The Same As Mwizi Akienda Kuiba na kuangusha KITAMBULISHO...

Hivi watu WAFANYE Yale huku wanajua hayawahusu...halafu wawahusishe WATU wenye political interests dhidi ya hao MAHASIMU WAO?!!
Haiingiii akilini hata KIDOGO......

Igizo Hilo...
 
The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation......

Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana Johñson Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.....

I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania......

MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!

Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.....

Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.

Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.
Hii ndiyo dalili hasa ya kushikwa na uwendawazimu. Kama kuna ndugu wa karibu mwombe akusindikize Mirembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si
Miradi gani ambayo Mabeberu ' wanatuonea wivu....kwani fedha za mikopo yake tumezipata wapi!
Wakiwasifia mnadhangilia wakiwa wapinga Ni Mabeberu!
SI Kila Mhisani Ni BEBERU,na SI kila Beberu Ni Mhisani.
 
Back
Top Bottom