Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Fikiri, sehemu zote walikopita hakukuwa na mapanga na marungu ila wakayabeba hai? Kwann? Njia ya mwongo in fupi, kama wanahubirj raisi hajafanya kitu na vitu vinaonekana kuanzisha vita si suluhu. Tuwe makini na hii amani.
 
Muhusika mkuu ni mkuu wa wilaya ya hai, hivi kila mkutano lazima uende? Hao vijana wameandaliwa
 
Hii ndiyo dalili hasa ya kushikwa na uwendawazimu. Kama kuna ndugu wa karibu mwombe akusindikize Mirembe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwendawazimu na nimekuchorea Mapito hapo Juu...

Sawa Endelea Kuyaona hayo Madogo Kufikia Kunitia Kamba Mbio Nipelekwe NO.14 WODI YA ACUTE pale Mirembe...
 
Hiyo shule uliyoenda haikusaidii !!. Mleta hoja kasema piga kura uwakatae kwenye sanduku la kura siyo kufanya fujo kwenye mikutano yao.
 
Ni Vijana Wanaotumiwa na Mapapa Ya Ukuwadi Kutoka Nje....
Mapapa kvp akati mmoja wa hao vijana ameshasema kuwa, walitumwa na DC pamoja na OCD na waliahidiwa kulipwa elfu 20 kila mtu...

NB:Yani mtu unaamua kurisk maisha yako kisa elfu 20 kwelii
 
Ccm wasiwafanyie fujo safari yote ya mikoani, ila waje wawafanyie fujo kwenye ngome yenu kuu, na kumichomea Offisi.

Lissu kalizungumzia fujo zitakazo tokea Hai akiwa Arusha, kama mlikuwa na habari kabla, jee mliripoti polisi, kwa nini halikutangazwa na kupigiwa kelele na wanasiasa wenu kama kawaida yenu na kulikashifu lijulikane nchi nzima, ila mumengoja mpaka litokee. Ina maanisha mumelitayarisha wenyewe na mnalitumia kuwa Hadaa watanzania.

Ccm wasichome ofisi mikoa yote mengine ila Arusha, tena anapokuja LISSU baada ya miaka 3 kuwa matibabuni na kuoewa ugombea Uraisi. How pathetic and foolish.

Bob Marley alisema " YOU CAN FOOL THE PEOPLE SOME OF THE TIME BUT NOT ALL THE TIME"

Zakuambiwa changanya na zako.
 
wakuu wa mikoa, wilaya, na wakurugenzi wakwao pamoja na kuambiwa wasiwatangaze wapinzani,tume ya uchaguzi yenu pia lakini hamjiamini wala hamna uhakika na mgombea wenu kama atashinda mnasema ana miundombinu SGR mara umeme wa STIEGLER na Ndege pia lakini hayo yoteee Hamna kitu hayalipi mnaana fujo mnaenda kuleee siku ya kifo cha nyani mti yote huteleza.
 
Mapapa kvp akati mmoja wa hao vijana ameshasema kuwa, walitumwa na DC pamoja na OCD na waliahidiwa kulipwa elfu 20 kila mtu...

NB:Yani mtu unaamua kurisk maisha yako kisa elfu 20 kwelii

Nimejibu Hapo Juu....

Hao ni VIBARAKALA waliotumwa kumchafua Sabaya na Serikali yaani Ni sawa na kipindi kile US ilipoandaa yenyewe shambulizi Kwa Meli Yake Iliokuwa GUANTANAMO halafu AKASINGIZIWA Marehemu Fidel Castro na Cuba....
Hilo Ni igizo Mkuu wangu....it's blatant Deception...
 
Huyu sabaya ni tapeli alifumgwa na kujifanya tiss bado magu akamteua
 
S
Hiyo shule uliyoenda haikusaidii !!. Mleta hoja kasema piga kura uwakatae kwenye sanduku la kura siyo kufanya fujo kwenye mikutano yao.

Sawa Mkuu Wangu...

Yatadhihirika tu,kuwa hayo Ni Maigizo...

Hizo ni SETUPS TU ili Nganga Itimie...

Zile BARUA Za Hague SI ndio Preamble....
 
sabya anahangaika sana,so dodoma,shinyanga,singida asifanyiwe vurugu then Hai ndo afanyiwe vurugu plus maneno ya kuwalisha vijana,
hapo Hai tu wamefaidika na kipi kwa awamu hii zaid ya propaganda,wakelte vurugu kwenye sanduku la kura kumpigia mgombea wao
 
Hili jina "Mabeberu" litakuja kumtokea Magufuli puani!
 
vurugu zote za arusha na hai muhusika anahusika akiwa na baraka zote kama zile za baraka wasiojulikana.
 
The best comment ever
 

WEWE NDO sabaya Eti unaandika utumbo gani Vijana wa Lumumba wajinga sana !.Hasara amekula mzazi wako
 
Ndo yaleyale, mwenyekiti wa Chadema amevamiwa na kujeruhiwa mguu. Ikawa wakamatwe! Wakamatwe! Kumbe pombe...
tulieni mpira bado,japo mmeanza makesi yenu lakini shetani hawezi mshinda Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…