Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Na nyie mapanga na mawe, rungu mlikuwa nazo za nini?
Pale kulikuwa na vita?
Hao vijana wamefundishwa uelewa,
Huwezi kumwambia mtu mwenye akiri yake kuwa hakuna kilichofanyika wakati macho anayo na anaona mwenyewe.
Matokeo yake ndo hayo
Watu wanachoka na uongo na uchonganishi.
Fikiri, sehemu zote walikopita hakukuwa na mapanga na marungu ila wakayabeba hai? Kwann? Njia ya mwongo in fupi, kama wanahubirj raisi hajafanya kitu na vitu vinaonekana kuanzisha vita si suluhu. Tuwe makini na hii amani.
 
Muhusika mkuu ni mkuu wa wilaya ya hai, hivi kila mkutano lazima uende? Hao vijana wameandaliwa
 
Hii ndiyo dalili hasa ya kushikwa na uwendawazimu. Kama kuna ndugu wa karibu mwombe akusindikize Mirembe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwendawazimu na nimekuchorea Mapito hapo Juu...

Sawa Endelea Kuyaona hayo Madogo Kufikia Kunitia Kamba Mbio Nipelekwe NO.14 WODI YA ACUTE pale Mirembe...
 
Unaanza Kuupinga Mradi halafu Mabwana Wa Nje Wanaongezea Frequency Ya Kupinga...huku Wakiwa Ni marafiki Kindakindaki Wa CHAMA CHENU....then Unapata bahati Mbaya Unapelekwa Karibu na Huko....Bado Wanaendelea Kuupinga Mradi....Unapona na Kuanza Kuzunguka Kwao na KUENDELEA KUUPINGA NA WAO WANAKUSAIDIA KUONGEZA frequency.....

Mmmh smth FISHING......
Hiyo shule uliyoenda haikusaidii !!. Mleta hoja kasema piga kura uwakatae kwenye sanduku la kura siyo kufanya fujo kwenye mikutano yao.
 
Ni Vijana Wanaotumiwa na Mapapa Ya Ukuwadi Kutoka Nje....
Mapapa kvp akati mmoja wa hao vijana ameshasema kuwa, walitumwa na DC pamoja na OCD na waliahidiwa kulipwa elfu 20 kila mtu...

NB:Yani mtu unaamua kurisk maisha yako kisa elfu 20 kwelii
 
Ccm wasiwafanyie fujo safari yote ya mikoani, ila waje wawafanyie fujo kwenye ngome yenu kuu, na kumichomea Offisi.

Lissu kalizungumzia fujo zitakazo tokea Hai akiwa Arusha, kama mlikuwa na habari kabla, jee mliripoti polisi, kwa nini halikutangazwa na kupigiwa kelele na wanasiasa wenu kama kawaida yenu na kulikashifu lijulikane nchi nzima, ila mumengoja mpaka litokee. Ina maanisha mumelitayarisha wenyewe na mnalitumia kuwa Hadaa watanzania.

Ccm wasichome ofisi mikoa yote mengine ila Arusha, tena anapokuja LISSU baada ya miaka 3 kuwa matibabuni na kuoewa ugombea Uraisi. How pathetic and foolish.

Bob Marley alisema " YOU CAN FOOL THE PEOPLE SOME OF THE TIME BUT NOT ALL THE TIME"

Zakuambiwa changanya na zako.
 
wakuu wa mikoa, wilaya, na wakurugenzi wakwao pamoja na kuambiwa wasiwatangaze wapinzani,tume ya uchaguzi yenu pia lakini hamjiamini wala hamna uhakika na mgombea wenu kama atashinda mnasema ana miundombinu SGR mara umeme wa STIEGLER na Ndege pia lakini hayo yoteee Hamna kitu hayalipi mnaana fujo mnaenda kuleee siku ya kifo cha nyani mti yote huteleza.
 
Mapapa kvp akati mmoja wa hao vijana ameshasema kuwa, walitumwa na DC pamoja na OCD na waliahidiwa kulipwa elfu 20 kila mtu...

NB:Yani mtu unaamua kurisk maisha yako kisa elfu 20 kwelii

Nimejibu Hapo Juu....

Hao ni VIBARAKALA waliotumwa kumchafua Sabaya na Serikali yaani Ni sawa na kipindi kile US ilipoandaa yenyewe shambulizi Kwa Meli Yake Iliokuwa GUANTANAMO halafu AKASINGIZIWA Marehemu Fidel Castro na Cuba....
Hilo Ni igizo Mkuu wangu....it's blatant Deception...
 
Huyu sabaya ni tapeli alifumgwa na kujifanya tiss bado magu akamteua
 
S
Hiyo shule uliyoenda haikusaidii !!. Mleta hoja kasema piga kura uwakatae kwenye sanduku la kura siyo kufanya fujo kwenye mikutano yao.

Sawa Mkuu Wangu...

Yatadhihirika tu,kuwa hayo Ni Maigizo...

Hizo ni SETUPS TU ili Nganga Itimie...

Zile BARUA Za Hague SI ndio Preamble....
 
sabya anahangaika sana,so dodoma,shinyanga,singida asifanyiwe vurugu then Hai ndo afanyiwe vurugu plus maneno ya kuwalisha vijana,
hapo Hai tu wamefaidika na kipi kwa awamu hii zaid ya propaganda,wakelte vurugu kwenye sanduku la kura kumpigia mgombea wao
 
Hili jina "Mabeberu" litakuja kumtokea Magufuli puani!
 
vurugu zote za arusha na hai muhusika anahusika akiwa na baraka zote kama zile za baraka wasiojulikana.
 
Ndugu unafikiri kote alikopita Lissu kuanzia Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza , Musoma na Manyara hakuna wana CCM??? Kwa nini kote huko hazikutokea fujo????

Huu ni upumbavu uliofanywa na viongozi wa CCM Arusha na Hai hasa Sabaya kuandaa hao vijana na kuwalipa wafanye fujo!!!

Wewe hujasikia huyo kijana karopoka hapo Eti tuko tayari kumlinda DC???? Dc anahusika nini na vikao vya Chadema??????

Huyu Sabaya sasa ni wakati sahihi afundishwe kuwa Kuna nguvu ya umma behind Lissu!!! Kuna uwezekano wa asilimia hata 90 kuwa yeye ndo amehusika kutuma watu kuchoma ofisi za Chadema Arusha!!!
The best comment ever
 
The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation......

Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana Johñson Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.....

I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania......

MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!

Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.....

Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.

Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.

WEWE NDO sabaya Eti unaandika utumbo gani Vijana wa Lumumba wajinga sana !.Hasara amekula mzazi wako
 
Ndo yaleyale, mwenyekiti wa Chadema amevamiwa na kujeruhiwa mguu. Ikawa wakamatwe! Wakamatwe! Kumbe pombe...
tulieni mpira bado,japo mmeanza makesi yenu lakini shetani hawezi mshinda Mungu
 
Back
Top Bottom