blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Em andika vizuri..Nashukuru wameua punguani mmoja narusha mawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em andika vizuri..Nashukuru wameua punguani mmoja narusha mawe
Najiuliza huko walikovamiwa leo vyombo vya ulinzi na usalama vilikua vina taarifa ya uwepo? Mbona kwingine kote tangu Lissu anaingia airport hadi kaanza harakati za nia ya urais hajawahi vamiwa? Au wamevunja utaratibu na kusababisha yaliyotokea?Mnaanzisha Vurugu hata kabla ya Kampeni CHADEMA Uhuni mnataacha Lini?
Magufuli ndiye mtukanaji zaidi ya wateule wote wa kuwania "urahisi".Lisu hakubaliki jamani! Mwambieni aache kutukana watu hovyo
Umefikiria nao wakiamua kujibu mashambulizi nini kitatokea kwako na familia yako...
Usijifikiria wewe sababu ni kijana, kumbuka una Mama, Baba,Dada,Shangazi na Bibi na Babu.
Huwezi kujua watafikiwa vipi.
Wewe bwabwaja tuu ujinga wako wakati vijana walioleta fujo wamepokea KIPIGO KITAKATIFU na mmoja tayari kashatangulia jehanamu akawasubiri maccm wenzake walio mtuma.Watu wamechoka kejeli za Lisu
Pole sana hamna pa kujificha baada ya kuishiwa hoja za msingi. Endelea kuhesabu midege ya maonesho pale JKNIAWatu wamechoka kejeli za Lisu
J.P.M lazima ashinde uchaguzi kwa kuwa anakubalika mjini na vijijini ila hawa wanaofanya vurungu wanabidi wakamatwe haraka maana nia yao ni kutia Dosari ushindi wa Raisi J.P.M
Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?
Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Kwa kweli mnatia huruma. Mungu aliyemwokoa kwenye marisasi ndie atampitisha SALAMA.Hayo mbona tundu lisu hayajui na nasikia kachukua uraia huko, yakibuma anakimbia anawaacha mlioingia barabarani.
Ninachojua kama kungekuwa na kukubalika hakuna mtu angefanya fujo hapo
Washabiki wangewazuia tu
Ila.mnalazimisha mambo, au mmetengeneza wenyewe ili iwe kiki
Inasemekana mrusha mawe mmoja kauwawa na wananchi huko.Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Anadhani madaraka ya kuteuliwa ni kitu cha kudumu mburura yule? Atajipendekeza mpaka lini?Ndio huyohuyo tena ametia nia ubunge
Hapana CHADEMA mmekuwa na shida kiasi. Siasa zenu zimekuwa za kutafuta umaarufu badala ya kuweka hoja mbele.Ikulu ndiyo imawafamyeni muumize watu wanao wapinga? Hiyo ikulu mlizaliwa nayo? Wacheni mawazo ya kishetani nyinyi.
Hii nchi siyo mali yenu pekee yenu wala hakuna sehemu mmekatia leseni ya kuimiliki Tanzania.
Acha upuuzi wewe. Kwani wilayani kwake kuna uzio wa kuwazuia wahuni wanaorubuniwa na Mkuu wa wilaya?? Muda sio mrefu mtacheka kama hamtolia.Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?
Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Safi sana. Hiki ndicho ninachotaka. Watu wanatakiwa wajifunze kuheshimu wengine. Hii nchi kila mtu ana haki na huu ni wakati wa kujinadi!Inasemekana mrusha mawe mmoja kauwawa na wananchi huko.
Polisi walikuwepo wakiangalia tu kama sinema vile.