Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Tusilete chuki katika masuala haya ya uchaguzi 2020.
 
CHADEMA acheni upole msiogope kuenguliwa tutahamia hata CHAUMA na tuta i-brand ..
Magufuli analinda hao wapuuzi .
 
Kuna mtu anatamani sana apite bila kupingwa,safari hii asahau,Tena tunamtaka kwenye mdahalo kama anajiamini, aje na hotuba zake za mapapai na Oilchafu tuone
Katambi tu anawatosha sasa raisi wa nini, hapo bado msemaji wa serikar ndo tundu atakimbia kabisa
 
Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!

Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?

Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Tungo hizo ziliisha chokwa ndugu. Hoja ziliisha wakaukia.
 
[SUP]Hapa mkuu wa wilaya na OCD wake wahusishwe!![/SUP]
 
Hivi machalii wa chuga mbona mmekuwa wachumba Sana aisee..makamanda mnafeli Sana kipande iyo yaani mmekuwa wanyonge kimmbwa ..!
Au Ni hao akina gnako na wenzao wanaoimba juhudi za yule duanzi na wamewabadilisha mentality na kuwa mandezi kiasi hicho..?
 
Chadema acheni kuumizana wenyewe kwa wenyewe haya mambo kaeni muoongee msuluhishane myamalize.
Pole sana mmeshashikwa pabaya hamtoki
1597414107795.png
 
Uchaguzi huru na wa Amani Tanzania inawezekana

Hao wahuni wasakwe na washikishwe adabu mara moja, tunataka uchaguzi wa Amani na kutaniana kama Ada yetu, inajulikana Magufuli ndiye mshindi zaidi ya 70%

Hao ni wahuni wanataka kutuchafua nchi nzima, wahuni wa Arusha na wavuta Bangi watafutwe popote walipo

Au kama zile gongo za M/kiti zimefika huko pia, wakemewe, maana hawa nao mambo yao Wakati mwingine ni ya hovyo sana
 
J.P.M lazima ashinde uchaguzi kwa kuwa anakubalika mjini na vijijini ila hawa wanaofanya vurungu wanabidi wakamatwe haraka maana nia yao ni kutia Dosari ushindi wa Raisi J.P.M
Kweli kabisa.
Na huenda hawa si watu wa upande wa Magufuli wanafanya hivyo kumhujumu Magufuli na nchi yetu.
 
Na bado akianza kampeni awe anongea ujinga wake ndo atajuwa watanzania hwataki chuki za kijinga
Umefikiria nao wakiamua kujibu mashambulizi nini kitatokea kwako na familia yako...

Usijifikiria wewe sababu ni kijana, kumbuka una Mama, Baba,Dada,Shangazi na Bibi na Babu.

Huwezi kujua watafikiwa vipi.
 
CHADEMA wanaigiza kuwa underdogs wanaotegemea huruma ya CCM kushinda uchaguzi....hilo halijikutokea kamwe!
Hivi Kenani Kihongosi ni mwanachadema? Maana kuna clip nyingi zake akiwa anasema wapinzani wauawe!
 
Back
Top Bottom