Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Musiba alishasema kuwa kuna mbinu chafu inaandaliwa na wenye Saccos! Haya sasa kwa nini iwe Hai?? Kwingine amepita salama?
Kumbe hata musiba anawafuasi wake.watu kama nyie dizaini ya musiba sijui nikazazi ya dunia ipi?maana hamfanani nabinadam wakawaida.
 
Lengo ni kuwafanya wenye magari yao waogope kushiriki msafara wa TAL

Hahaha..Duh!

Ki vipi sasa mkuu? Yani wewe hii habari umei elewa vipi? Watu from no where tu waanze kushambulia na kuharibu magari kweli? Kwamba watu wengine walikuwa wapi? Madereva na umati uliokuwa una shuhudia huo mkutano wa hadhara walikuwa wapi
 
Tatizo wewe hujui, watu wa kaskazini siyo wale wa miaka ile, huyu tarumbeta wenu hawajui amekwenda kufanya mkutano au amekwenda kutafuta wadhamini? watu wa kaskazini ni wasomi, hiyo ni salamu tuu kuwa awamu hii kaskazini kwa upande wa Rais anajulikana, wazee walishaomba upatanisho na Mh. Magufuli hawataki kufanya makosa wanataka maendeleo. Pia hicho ni chama chao, wanashangaa lijitu limetokea wapi ambalo halijulikani miaka 3 lilikuwa wapi? hajui CHADEMA imepitia machungu gani eti yeye anakurupuka anaanza kuleta sera za uchochezi na RAMRI chonganishi. Wazee wa KILIMANJARO HONGERENI SANA
Povuuuu jiiiingi ulichoandika hapo ni ziro.
 
Mnajishaua tu kama matambara ya deki, Mzee Magu anasubiri kuapishwa tu, hiyo midahalo Lissu afanye na akina Katambi siyo Magufuli maana huyo ni next lavel
Kuna mtu anatamani sana apite bila kupingwa,safari hii asahau,Tena tunamtaka kwenye mdahalo kama anajiamini, aje na hotuba zake za mapapai na Oilchafu tuone
 
Unatafuta mabwana wewe

Teh! Mbona bado mapema sana mkuu ushaanza kujaa gesi hivyo? Jali afya yako achana na huu upuuzi wa mahaba ya kisiasa. Atakavyo wageuka naona unaweza kujitundika kabisa.
 
Wapuuzi ni nyie mnalundikana kama siafu halafu wanatokea wahuni watano au sita wanamshambulia Mgombea uRais ambaye amepita maeneo ya watu mapaka kule Shinyanga jirani kabisa na Chato lakini wameonyesha ustarabu mana wamefundishwa maana ya Demokrasia tofauti na Huyo mpevi aliyeshindwa kuwafundisha watu wa nyumbani kwake maana ya Chama chake na kuiamini itikadi ya Chama chake.
Mnashindwa na yule mwanamke kule Geita aliyegoma bendera kushushwa nyumbani kwake na watu wakamwelewa.
Hawa wenyeviti wa Vyama vya upinzani ni waajabu sana. Wote hawakubaliki kwao zaidi ya kutegemea huruma badala ya kujenga itikadi ya vyama vyao kwenye mioyo ya watu.

Hapo hai kuna sehemu ya mtu kufanya Uhalifu mchana kweupe mbele ya msafara asijulikane na kukamatwa na mkamgawa vipande vya mishakaki.
Mnatetea ujinga ,halafu mnailaumu Serikali ili iwasaidie nini kama mnapigwa mchana kweupe na watu wanaojulikana na kuonekana wazi.
Unambiwa mmoja alie beba bango kauwawa
 
Kuna kitu kinakwenda kumpata huyo DC wa hapo mwaka huu.
Tuliona haki iliwahi kudhulumiwa akaibuka mtu anaitwa mng'oa kucha , akatoa malalamiko hakusikilizwa, akalalamika tena hakusikilizwa, akaonya hakusikilizwa, akaonya tena hakusikilizwa.
Mwishowe mng'oa kucha wa watu akaamua kuhitimisha na kutoa hukumu haikupita wiki kama alivyosema huku ikatimia na mng'oa kucha kucha akaamua kutoweka mitandaoni.
Ulimuua au?
 
Hawa Makamanda wanaoshambuliwa na kulia lia ni migambo ninj? Kamanda unaguswa kidogo tu unapiga mayowe
 
Mkuu idawa siku zote huwa naheshimu sana comment zako, ila hapa naona haupo vizuri kwa comment yako hii, mleta uzi amejitahidi kuwahisha kutuma huu ujumbe kulingana na hali ilivyo.

Kipindi Cha kampeni upo umuhimu wa kukodi huduma ya ulinzi kutoka ktk kampuni binafsi wakisaidiwa na red brigade...
 
Mkuu idawa siku zote huwa naheshimu sana comment zako, ila hapa naona haupo vizuri kwa comment yako hii, mleta uzi amejitahidi kuwahisha kutuma huu ujumbe kulingana na hali ilivyo.
Wanaweza kuwa wameahambuliwa na nyuki tu lkn kwa haraka za kuwa wa kwanza kuripoti ndo inakuwa hivyo
 
Wapuuzi ni nyie mnalundikana kama siafu halafu wanatokea wahuni watano au sita wanamshambulia Mgombea uRais ambaye amepita maeneo ya watu mapaka kule Shinyanga jirani kabisa na Chato lakini wameonyesha ustarabu mana wamefundishwa maana ya Demokrasia tofauti na Huyo mpevi aliyeshindwa kuwafundisha watu wa nyumbani kwake maana ya Chama chake na kuiamini itikadi ya Chama chake.
Mnashindwa na yule mwanamke kule Geita aliyegoma bendera kushushwa nyumbani kwake na watu wakamwelewa.
Hawa wenyeviti wa Vyama vya upinzani ni waajabu sana. Wote hawakubaliki kwao zaidi ya kutegemea huruma badala ya kujenga itikadi ya vyama vyao kwenye mioyo ya watu.

Hapo hai kuna sehemu ya mtu kufanya Uhalifu mchana kweupe mbele ya msafara asijulikane na kukamatwa na mkamgawa vipande vya mishakaki.
Mnatetea ujinga ,halafu mnailaumu Serikali ili iwasaidie nini kama mnapigwa mchana kweupe na watu wanaojulikana na kuonekana wazi.
Mkuu hawa Chadema wasikusumbue! Wanapanga matukio. Eti inakuaje vujo sitokee Hai jimbo la Mbowe wakati sehemu nyingi amepita bila matatizo?
 
Hivi yule kamanda aliyeanguka kwa ulevi Dodoma akiwa na kimada wake akasingizia kavamiwa issue yake iliisha vipi?
Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.

CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.

Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.

Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
 
Tarajieni muujiza enyi waovu nzi wa kijani, tarajieni muujiza ndani ya siku7! Tanzania ni nchi huru, watanzania hawawezi kuishi kama watumwa katika nchi yao!

#SASA_BASI!
 
Mkuu idawa siku zote huwa naheshimu sana comment zako, ila hapa naona haupo vizuri kwa comment yako hii, mleta uzi amejitahidi kuwahisha kutuma huu ujumbe kulingana na hali ilivyo.
Si ulisema uko kwenye msafara? Tuletee taarifa ga maana imekuwaje fujo zitokee kwenye jimbo la mwenyekiti?? Au Mwenyekiti huko hakubariki??
 
Hilo ni jambo linaloweza kutokea popote haijalishi ni kiongozi yupo madarakani, Kuna mambo mengine ambayo binaadam hanq uwezo wa kuyazuia yasitokee kama Vurugu na vitu vingine vingi
Muulize Mbowe kwa nini hilo limetokea kwenye Jimbo lake??
 
Back
Top Bottom