Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

CHADEMA, fanyeni siasa acheni kutafuta kicki za kishamba tangu Lissu ameingia Nchini mmekuwa mkifanya kila namna mkamatwe na Polisi ili muonekane mmeonewa

Mgombea wenu amechukuwa fomu Dodoma bila matatizo.

-Ameanza kutafuta wazamini tena ameanzia kanda ya ziwa ambako ina aminika ni ngome ya mpinzani wake JPM bila matatizo

-Amepokelewa pale Airport kutoka Ubeligiji kwa maandamano bila matatizo

Swali

Iweje leo ameanza kutafuta wazamini kutoka kanda ya kasikazini inayoaminika ni ngome ya chadema tuanze kupata matukio ya ajabu

Leo tu matukio 2
1 .Ofis ya chama kuchomwa moto
2 .Msafara wa mgombea kushambuliwa

Hapana kuna usanii wa kisiasa unaendelea chini kwa chini .
 
Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.

CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.

Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.

Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Kwakweli wamekosa kick kutoka kwenye vyombo vya dola, sasa wanalazimisha ili waonekane wanaonewa.
 
Hai ni mojawapo ya wilaya zenye ustaarabu na maendeleo ya kuweza kwatambua wananchi zaidi ya 95%.
Ukitaka kuwajua na kuwakamata wahalifu kama hao huhitaji zaidi ya siku moja.
 
Tunaomba ka video kalikochukuliwa na Tecno ndogo kanakoonyesha wakishambuliwa, kutawanywa na magari kuvunjwa... bila ushahidi tuhuma ni hekaya
 
Kuna ujasusi wa kidola usiofuata sheria na ujasusi wa kitaifa unaofuata sheria!!ndio maana polisi wameangalia tu bila kujali!!
 
Hili sasa liwe fundisho kwa serikali ya Ccm. Uwe ninwakati muafaka mamlaka za uteule ziwaondoke kwenye nafasi zao viongozi wa wilaya ya Hai wanahusika na usalama wa Wilaya.

Kumekuwa na rekodi mbaya ya kiusalama kwenye hii wilaya kwa muda mrefu lakini sio Mh. Rais wala IGP walionekana kukemea au kufanya mabadiliko kwenye hii wilaya.

Kuna viongozi wanadhani wilaya nibyao na hawaguswi.

Hatutegemei kumuona tena DC na Ocd wa hii wilaya wakiendelea kubaki ofisini.. This is more than enough.. Sasa basi.. Hai tuna taka Amani na ustaarabu..
Na ukifuatilia vyema, walio choma ofisi za Chadema Arusha, ndio walio fanya fujo Hai. Hata huyu wanae sema kafariki ukifuatilia sio mkazi wa Boma. Na mdhamini wao ni mmoja.
Kama vipi pilisi waseme alie kufa ni mwenyeji wa wapi? Tuna ongozwa na majambazi hapa? Mh. Rais ana takiwa awe makini na teuzi zake.
 
Nani mwingine kafurahishwa na statement ya mwisho hapo?
1597422955101.jpg
 
Kwani mkutano ulikuwa unahusu nini ?
Hao waliovamia huo mkutano walikuwa wengi kuliko waliokuwa wamehudhuria huo mkutano?Je wakati wa kampaini tutakuwa tunalalamika hivi huku mitandaoni au wakija watano tutakuwa tunawapeleka angalau watatu mochwari? Hivi baada ya lile shambulio la Lissu bado mnategemea police au jumuiya ya kimataifa.Nadhani police na jumuiya ya kimataifa ilipaswa kuwakuta mbele
 
Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!

Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?

Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.

Kwani watu wakilipwa kufanya inajalisha umejenga chama kiasi gani, unafahamu nguvu ya dola wewe nakumbuka Nape aliponyooshewa bastola walisema yule aliyemnyooshea hawamfahamu
 
Yaani sielewi, CHADEMA hamuezi kujilinda? Mtaanza kusingizia CCM bure, jilindeni sasa hata ulinzi wenyewe mnashindwa?
 
Kwani watu wakilipwa kufanya inajalisha umejenga chama kiasi gani, unafahamu nguvu ya dola wewe nakumbuka Nape aliponyooshewa bastola walisema yule aliyemnyooshea hawamfahamu
Dawa ni kujichukulia sheria mkononi,ukitaka wanao mfahamu wanitokeze,ua au vunja miguu na mikono
 
Back
Top Bottom