Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
hakuna walimu ambao ni watoto wa mawazir na rais au hujui kama wapo?Kazi ambazo watoto wa waziri mkuu na rais hawazifanyi ni nyingi Sana, so Kwa tafsiri hiyo kumbe kazi za laana ni nyingi tu na sio uboda boda tu, so ualimu, unesi, uofisa kilimo na mifugo ni kazi za laana make hizo kazi huwezi mkuta mtoto wa rais au waziri mkuu
Kumbuka pia gambo hafanyi kazi ya upolisi, unesi na hata ualimu basi Kwa sababu gambo hafanyi kazi hizi Kwa tafsiri yako nazo pia sio kazi za maana ni za laana!!kisa lumumba amewaletea hoja jadidifu ambayo hawakutegemea, by the way nimemsikia gambo akisema kuwa lema ni chiz fresh sasa mim namjibu gambo kuwa yeye ndio chix fresh maana anahadaa bodaboda kuwa ni kaz ya maana huku yeye haifanyi kama ni kaz ya maana kwanin haifanyi, kijana anakuwa mjinga kuliko hata lunatics.
Happy ki ukweli amekosea...!! Nadhani hata kwenye kampeno zake alikuwa akiwatumia hawa Maafsa Usafirishaji kwenye misafara yake awaombe radhi kwa kweli....!!Angeshauri sasa kazi gani ndio inayofaa au ni namna gani ya kuifanya hii ifae. Maana bodaboda wamekuwa msaada mkubwa sana hasa sisi tunaoishi uswahilini wamekuwa wakipeleka wagonjwa wetu mahospitali hata usiku wa manane na pia wamekuwa wakituwahisha kwenye mishe mishe zetu. Sasa kama mtu anayesema hii kazi haifai kufanywa na watu anataka ifanywe na nani? Sidhani kama yeye huwa anatumia huu usafiri. Kazi yeyote mtu anayoifanya kwa furaha na hakuombi ugali wako muheshimu kwa hiyo omba omba ndio kazi ya heshima?
lema hajasema kuwa bodaboda sio kaz halali amesema ni kaz ya laana akimaanisha inawapa matatizo mengi ajali na kipato kidogo huku watoto wa vigogo wakipewa kaz nzur serikalin.Hatukatai
Ila haikua vizuri kusema wenzie vibaya
Kwanza ni kazi ya halali, Pili as long as hawavunji sheria he gone too far
kisa umesema weweAnazidi kuharibu
Nitajie mtoto wa Samia au mwinyi au majaliwa ambaye ni nesi au mwalimu!hakuna walimu ambao ni watoto wa mawazir na rais au hujui kama wapo?
Wewe binafsi umetembelea nchi ngapi duniani zilizo nje ya AfrikHivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
kisa umesema wewe
Kwahio mtu akipata kipato kidogo ni lsana? Vipi ile angebaki bila kazi na kua ombaomba?? Kwake ni kidogo kwa wengine ni kikubwalema hajasema kuwa bodaboda sio kaz halali amesema ni kaz ya laana akimaanisha inawapa matatizo mengi ajali na kipato kidogo huku watoto wa vigogo wakipewa kaz nzur serikalin.
Most of boda boda riders are stubborn....Hatukatai
Ila haikua vizuri kusema wenzie vibaya
Kwanza ni kazi ya halali, Pili as long as hawavunji sheria he gone too far
Your point is too weal to justifyMost of boda boda riders are stubborn....
Asilimia kubwa ya bodaboda wengi hawajaenda shule wee ulitaka wafanye shughuli gani?Ndio maana tunasema ccm hawapaswi kuhadaa watu kuwa bodaboda ni kaz ya maana kwasababu kunabodaboda wanamasters na degrees za kutosha na hawapewi kaz serikalini wakati watoto wa vigogo ambao wengine tunawajua elimu zao ni za kuungaunga lakin wako BOT NA TRA hiki ndio lema anapinga ila wewe hutamwelewa maana you seem to be adamant by the way kaendeshe bodaboda ndan ya miaka kumi ndo utamwelewa lema anachokisema leo.
Hahaha, vurugu sana hao, wezi, hawafuati sheria za barabarani, they make others pass away and run away, though sometimes wanadanja wao, all these justfies lema's statement...Your point is too weal to justify
Lema should apologize
Well kwan hamna afisa mwizi? Hamna afisa ambaye hafati sheria za batabarani wewe upo dunia ya ngapi ndugu?Hahaha, vurugu sana hao, wezi, hawafuati sheria za barabarani, they make others pass away and run away, though sometimes wanadanja wao, all these justfies lema's statement...
Kwanini amewataja waziri mkuu Majaliwa na Rais Mwinyi?Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
Other are cursed jobs as bodaboda, Gvt. Haitaki kukubali kushindwa kwake kutengeneza ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu.Well kwan hamna afisa mwizi? Hamna afisa ambaye hafati sheria za batabarani wewe upo dunia ya ngapi ndugu?
Msione maisha mmeyapatia mkadharau wenzenu to a blink of an eye table turn anyway
The one to judge is GOD, who are. you to judge your fellow men, shame
😃😃labda upo sahihiOther are cursed jobs as bodaboda, Gvt. Haitaki kukubali kushindwa kwake kutengeneza ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu.
Sasa mtu anamwambia graduate akasome veta ili apate ujuzi, nini hiki sasa?
Namuunga mkono Nabii Lema