Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Kazi ambazo watoto wa waziri mkuu na rais hawazifanyi ni nyingi Sana, so Kwa tafsiri hiyo kumbe kazi za laana ni nyingi tu na sio uboda boda tu, so ualimu, unesi, uofisa kilimo na mifugo ni kazi za laana make hizo kazi huwezi mkuta mtoto wa rais au waziri mkuu
hakuna walimu ambao ni watoto wa mawazir na rais au hujui kama wapo?
 
kisa lumumba amewaletea hoja jadidifu ambayo hawakutegemea, by the way nimemsikia gambo akisema kuwa lema ni chiz fresh sasa mim namjibu gambo kuwa yeye ndio chix fresh maana anahadaa bodaboda kuwa ni kaz ya maana huku yeye haifanyi kama ni kaz ya maana kwanin haifanyi, kijana anakuwa mjinga kuliko hata lunatics.
Kumbuka pia gambo hafanyi kazi ya upolisi, unesi na hata ualimu basi Kwa sababu gambo hafanyi kazi hizi Kwa tafsiri yako nazo pia sio kazi za maana ni za laana!!
 
Angeshauri sasa kazi gani ndio inayofaa au ni namna gani ya kuifanya hii ifae. Maana bodaboda wamekuwa msaada mkubwa sana hasa sisi tunaoishi uswahilini wamekuwa wakipeleka wagonjwa wetu mahospitali hata usiku wa manane na pia wamekuwa wakituwahisha kwenye mishe mishe zetu. Sasa kama mtu anayesema hii kazi haifai kufanywa na watu anataka ifanywe na nani? Sidhani kama yeye huwa anatumia huu usafiri. Kazi yeyote mtu anayoifanya kwa furaha na hakuombi ugali wako muheshimu kwa hiyo omba omba ndio kazi ya heshima?
Happy ki ukweli amekosea...!! Nadhani hata kwenye kampeno zake alikuwa akiwatumia hawa Maafsa Usafirishaji kwenye misafara yake awaombe radhi kwa kweli....!!
 
Hatukatai

Ila haikua vizuri kusema wenzie vibaya

Kwanza ni kazi ya halali, Pili as long as hawavunji sheria he gone too far
lema hajasema kuwa bodaboda sio kaz halali amesema ni kaz ya laana akimaanisha inawapa matatizo mengi ajali na kipato kidogo huku watoto wa vigogo wakipewa kaz nzur serikalin.
 
lema hajasema kuwa bodaboda sio kaz halali amesema ni kaz ya laana akimaanisha inawapa matatizo mengi ajali na kipato kidogo huku watoto wa vigogo wakipewa kaz nzur serikalin.
Kwahio mtu akipata kipato kidogo ni lsana? Vipi ile angebaki bila kazi na kua ombaomba?? Kwake ni kidogo kwa wengine ni kikubwa

Ajali kwani hamna Afisa wa serikali ambae hapati ajali

The man should apologize bhana
 
Ndg mwenyekiti na katibu wa chama, kwa hekima zenu mpepeeni kichwa kijana wenu, maana anazidi kujianika ya kuwa yeye ni mtu wa type ipi, na sisi wananchi tunashindwa tumeweka kwenye kundi gani, je kichwani yupo sawa kweli kijana wenu?
 
Most of boda boda riders are stubborn....
Your point is too weal to justify

Lema should apologize

Stubbornness is a human nature and anybody can be wheather is a bodaboda or otherwise it depend on your act toward him

If you behave well i don't think they will act in such manner
 
Ndio maana tunasema ccm hawapaswi kuhadaa watu kuwa bodaboda ni kaz ya maana kwasababu kunabodaboda wanamasters na degrees za kutosha na hawapewi kaz serikalini wakati watoto wa vigogo ambao wengine tunawajua elimu zao ni za kuungaunga lakin wako BOT NA TRA hiki ndio lema anapinga ila wewe hutamwelewa maana you seem to be adamant by the way kaendeshe bodaboda ndan ya miaka kumi ndo utamwelewa lema anachokisema leo.
Asilimia kubwa ya bodaboda wengi hawajaenda shule wee ulitaka wafanye shughuli gani?
 
Your point is too weal to justify

Lema should apologize
Hahaha, vurugu sana hao, wezi, hawafuati sheria za barabarani, they make others pass away and run away, though sometimes wanadanja wao, all these justfies lema's statement...
 
Hahaha, vurugu sana hao, wezi, hawafuati sheria za barabarani, they make others pass away and run away, though sometimes wanadanja wao, all these justfies lema's statement...
Well kwan hamna afisa mwizi? Hamna afisa ambaye hafati sheria za batabarani wewe upo dunia ya ngapi ndugu?

Msione maisha mmeyapatia mkadharau wenzenu to a blink of an eye table turn anyway

The one to judge is GOD, who are. you to judge your fellow men, shame
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.

Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.

Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Mlale Unono!
Kwanini amewataja waziri mkuu Majaliwa na Rais Mwinyi?
 
Well kwan hamna afisa mwizi? Hamna afisa ambaye hafati sheria za batabarani wewe upo dunia ya ngapi ndugu?

Msione maisha mmeyapatia mkadharau wenzenu to a blink of an eye table turn anyway

The one to judge is GOD, who are. you to judge your fellow men, shame
Other are cursed jobs as bodaboda, Gvt. Haitaki kukubali kushindwa kwake kutengeneza ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu.

Sasa mtu anamwambia graduate akasome veta ili apate ujuzi, nini hiki sasa?
 
Other are cursed jobs as bodaboda, Gvt. Haitaki kukubali kushindwa kwake kutengeneza ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu.

Sasa mtu anamwambia graduate akasome veta ili apate ujuzi, nini hiki sasa?
😃😃labda upo sahihi

Ila vipi ile akae tu awe ombaomba ndo unataka? Thing are neber easy we are set to conquer them and there come hawa bodaboda
 
Lema analeta tu ujuaji. Hatuwezi wote kuwa na kazi za blue-collar au white collar kama anavyotaka yeye. Haiwezekani Tanzania na haijawahi kuwezekana popote duniani. Sasa wazoa taka mjini Lema atasemaje? Wana laana ya wazazi wao?!. Lema aache ujuaji.
Namuunga mkono Nabii Lema
 
Back
Top Bottom