johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Lema bhana!Ngoja tuone Hadi mwisho
Ikibidi Asema kabisa kwamba akiona mtoto wa hao aliowataja wanahudumia Gesti au mama Ntilie au saidia fundi ndio ataomba radhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema bhana!Ngoja tuone Hadi mwisho
Ikibidi Asema kabisa kwamba akiona mtoto wa hao aliowataja wanahudumia Gesti au mama Ntilie au saidia fundi ndio ataomba radhi
Tukitoka kwa bodaboda tuje kwa..mbona watoto wa viongozi wa Ccm hawaendeshi bodaboda?
Na ndio maana sio kila mtoto ni wa kiongozi wa ccm...mbona watoto wa viongozi wa Ccm hawaendeshi bodaboda?
Sidhani kama amekuja kwa lengo la kukijenga chama chao huenda kuna ajenda ya kukidumaza hicho chama.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Angeshauri sasa kazi gani ndio inayofaa au ni namna gani ya kuifanya hii ifae. Maana bodaboda wamekuwa msaada mkubwa sana hasa sisi tunaoishi uswahilini wamekuwa wakipeleka wagonjwa wetu mahospitali hata usiku wa manane na pia wamekuwa wakituwahisha kwenye mishe mishe zetu.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Mbona hajamtaja mtoto wa Samia? Anaogopa kuminyiwa mrija wa asali?Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi....
😂😂 Watu mna maneno!Mbona hajamtaja mtoto wa Samia? Anaogopa kuminyiwa mrija wa asali?
Je, Lema anataka wafanye kazi zipi za maana? Au nao waanze kutumia domo kaya kupiga kelele ili wawe wabunge?Au wakawe wezi wa magari? Tunaomba jibu Lema.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
HajadharauLema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
Lema aache ushamba. Mtoto wa PM ataendaje kuendesha boda boda? Ndiyo maana kwenye jamii kuna matabaka.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Na ndio maana sio kila mtoto ni wa kiongozi wa ccm.
Tukitoka kwa bodaboda tuje kwa
Walimu
Manesi
Watunza rekodi
Askari
Madereva
Na wengine wengi na pia tujue watoto wa mbowe lisu lema
Rais wangu Spunda Rungwe
Raisi Samia
Raisi kikwete wanafanya kazi zipi
Namuunga mkono Nabii Lema° namuunga mkono Mhe Lema
Lema anakoelekea anaweza kuleta Shida Kwenye Jami iliyotulia!Namuunga mkono Nabii Lema
kaendeshe bodabofa jinga wewe huku watoto wa majaliwa na mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA.Lema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
kaendeshe bodaboda huku watoto wa majaliwana mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRAKiki ya kuingilia hii
Anamanisha Hadi watoto wa wenyeviti wa vitongojiViongozi wa level gani?
Kaendeshe bodaboda wewe huku watoto wa majaliwa na mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA.Huku ndiko kunaitwa kujazana ujinga, haiwezekani watoto wote wazazi wao wakawa na Uwezo wa shule za medium!, ACHA KUJAZA WATU UPUMBAVU...