Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

Kosa la Lema linafanana na la huyo Mwanamke Mjinga unayemtetea?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kwenda zako huko. Lema hakutoa kauli za uchochezi huko Singida?
Lema aliongea ukweli kuhusu habari za Singinda, ila wanazi wa kubadili story mkamgeuzia kibao cha uongo. Kila dhambi ina malipo yake, kuna siku mtalipa
 
Kwani ya lema yalikua niya kweli ?tuanzie hapo mkuu
 
Gekul Kama itadhibitika amefanya ni sawa na kosa la kubaka na kosa la kubaka adhabu yake unajua !!
 
Ukiwa ccm inakuwa na akili fupi
 
Hata kuandika hujui eti zinazom kabiri nenda Ngumbaru wewe
 
Makosa yanatofautiana.

Huwezi kufananisha makosa ya Lema na alichofanya Gekul ( kama ni kweli)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…