Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

Acheni upambe na siasa za maji taka. Tusitetee maovu kwa kisingizio cha siasa. Unyama alioufanya huyu Paulina ni wa kukemewa na anastahili adhabu. Hizo taaruki alizokusabishia Lema kama alisema uongo ni jambo jingine.
Shangaa sijui angefanyiwa mume wake angefurahi
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇

View attachment 2827135
Wewe ni mpumbavu
 
Issue sio lema bali ni unyanyasaji aliofanyiwa kijana.
 
We mwanaCCM jinai ni jinai tu. Kila mtu anatakibwa ashitakiwe kwa kosa alilotenda.
Unataka kutuambia Samia kajigeuza mahakama anawafutia watu makosa ya jinai? Unayoyaita makosa kwa Lema yalikuwa ya kubambikiwa kisiasa. Samia ni Rais anazo taarifa sahihi kuliko wewe. Hakurupuki kufanya maamuzi kwa kufuata umbea wa mitandaoni.
 
Acha ujinga kwa hyo kumtia mtoto wa watu chupa ya makalio we unaona ni sawa?acha usenge
Huyu anayejiita kamanda asiyechoka ni shoga ndiyo maana anaona mtoto wa watu kuingiziwa chupa makalioni ni sawa kwa vile yeye mwenyewe hana marinda
 
Unataka kutuambia Samia kajigeuza mahakama anawafutia watu makosa ya jinai? Unayoyaita makosa kwa Lema yalikuwa ya kubambikiwa kisiasa. Samia ni Rais anazo taarifa sahihi kuliko wewe. Hakurupuki kufanya maamuzi kwa kufuata umbea wa mitandaoni.
Kwenda zako huko. Lema hakutoa kauli za uchochezi huko Singida?
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇

===
Alichoandika Godbless Lema "Mheshimiwa Rais SSH kuna mchezo unataka kufanywa Babati wa kutumia nguvu,fedha na ushawishi wenye hila ili kupotosha ukweli juu ya tukio lililofanywa na Mb Pauline Gekul. Najua una majukumu mengi, huwezi kuwa kila mahali kwa kufuatilia kila jambo.Lakini usiruhusu dhambi hii ya kijana kuingiziwa chupa ktk sehemu za siri ya haja kubwa ikashinda. Mungu atawachapa sana kwani yeye hadhihakiwi.Heshima kwako ni haki kushinda na sio image ya mtu."
Lema aliongea wapi uongo au u hichezi? Au ukweli ndo uchichezi. Nani asiyejua kuwa jpm kaua watu kibao akiwemo huyo aliyemsema. Ulitaka serikali ndo ije itamke kwamba ni kweli tumeua ndo uamini. Lini serikali ilikiri kuua. Uwe unatumia akili basi
 
Thibitisha
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.[emoji116]

===
Alichoandika Godbless Lema "Mheshimiwa Rais SSH kuna mchezo unataka kufanywa Babati wa kutumia nguvu,fedha na ushawishi wenye hila ili kupotosha ukweli juu ya tukio lililofanywa na Mb Pauline Gekul. Najua una majukumu mengi, huwezi kuwa kila mahali kwa kufuatilia kila jambo.Lakini usiruhusu dhambi hii ya kijana kuingiziwa chupa ktk sehemu za siri ya haja kubwa ikashinda. Mungu atawachapa sana kwani yeye hadhihakiwi.Heshima kwako ni haki kushinda na sio image ya mtu."
Kwahiyo Gekul chupa angekuwekea wewe unduni ungemsamehe?
 
Back
Top Bottom