Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Shangaa sijui angefanyiwa mume wake angefurahiAcheni upambe na siasa za maji taka. Tusitetee maovu kwa kisingizio cha siasa. Unyama alioufanya huyu Paulina ni wa kukemewa na anastahili adhabu. Hizo taaruki alizokusabishia Lema kama alisema uongo ni jambo jingine.