Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

".... haiwezekani mtu akawa msaliti halafu aishi" speech ya JPM muda mchache kabla ya pyu pyu pyuuu
 
Naomba kujua why watu wengi wanasema huyu dada hajafa? kuna uzi aliaga? mi sijauona
Kuna thread aliandika anaumwa,akaaga atakua out of jf kwa muda....(niliiona)
Wakati hayupo kuna mtu akaandika kwamba amefariki ila ilifutwa (nami sikuiona ila nimesoma tu humu)
 
Naomba kujua why watu wengi wanasema huyu dada hajafa? kuna uzi aliaga? mi sijauona
Upo uzi aliweka akisikitika kuwa anakata kamba kabla hajaona mabadiliko ya katiba.
Ukienda kwenye home page yake unaweza kuuona.
 
Simu zote duniani ziko rekoded hivyo ipo siku sauti itasikika
 
Sasa kwa pamoja tuulizane magaidi akina nani?
 
Hitler iddi amini wanaongelewa mpaka kesho

Jpm atakuwa rais bora wa karne
Hata familia yako mwenyewe wanamkubali.

Maana Afrika hamna upinzani wa kweli wengi wenu ni wanaafiki na mliojaa kibri.

Kwa taifa hili upinzani kuonngoza Nchi mpaka malaika wa shetani arudi.
 
Akili ya kawaida tu ya mambo ya plottting yoyote ya assassination, waziri ampigie simu mke wa mbunge kumtaka afanye kitu fulani ili kuwezesha kitu fulani? Hapa nionacho ni lema ni dumb zaidi ya nilivyodhan
Hebu isome Tena hiyo thread kuna mahali unajichanganya na ama hujarudia kusoma na umekimbilia kujibu! Mleta Uzi kaandika kuwa, kalemani alimpigia simu make wake akimuelekeza kuwapa ushirikiano wote wanaoutaka! Upo?
 
Ndgu Jpm hayupo duniani kwanini bado mnamuongea sana.
Kwakuwa alipokuwa hai aliongelewa sana,waliokuwa wanaongea hawajafa.Nyerere na Mkapa bado wanaongelewa na vizazi vilivyokuwepo.
Umesikia wanamuongelea Kingunge?
 
 
Hebu isome Tena hiyo thread kuna mahali unajichanganya na ama hujarudia kusoma na umekimbilia kujibu! Mleta Uzi kaandika kuwa, kalemani alimpigia simu make wake akimuelekeza kuwapa ushirikiano wote wanaoutaka! Upo?
Polisi kumbe wana vielelezo tayari,wanashindwa nini kuanzisha uchunguzi kusudi kesi ianze?
 
Tarehe 7/9/2017 ilikuwa Ni siku ambayo MUNGU huenda hakulala Kama huwa analala kwani mja wake asiye na hatia LISSU wenye mamlaka walitaka kuhitimusha maisha yake.
Rais wa nchi alikuwepo.
Makamu wa RAIS alikuwepo.
Waziri Mkuu alikuwepo.
IGP pia alikuwepo.
Mkuu wa TISS alikuwepo.
Mkuu wa JWTZ alikuwepo.
DCI naye alikuwepo.
Mkuu wa zima Moto alikuwepo.
Mkuu wa JKT alikuwepo.
Mkuu wa skauti alikuwepo.
Mkuu wa PCCB alikuwepo.
RPC walikuwepo.
OCD walikuwepo.
Mawaziri walikuwepo.
Jaji Mkuu alikuwepo
SPIKA wa bunge alikuwepo.
Wote hao Hawakufahamu Nani aliyerusha risasi 38 kwa LISSU.Ila Mungu pekee ndiyo hakulala mchana ila wote Hapo juu walikuwa wamesinzia.
Waziri Medard kalemani ndiye aliyeshiriki kutoa CCTV camera kwenye nyumba yake hivyo alipaswa kuhojiwa ipasavyo.
 
Aspokufa atashushwa🤣🤣🤣Karma

Akina Chamriho, Kilangi et al
 
Na baada ya happ aliteuliwa Uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…