Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

Simply aliyemfanyia haya Lissu cha moto anakiona maana walioenda ilikua nikutekeleza order tu, mtoa order aliumwa kimya kimya wakaficha kama walivyowaficha washambuliaji wa Lissu, aliumwa mpaka akafa bila hata dua njema, hii inadhiirisha Mungu yupo na kila jema na baya tunalofanya litahesabiwa na kutunukiwa au kuadhibiwa chaguo ni letu.

Ulikuwepo wakati anakufa hadi useme alikufa bila dua njema? Mkiwaga nyuma ya keyboard mnajifanyaga wajuaji wa kila kitu,njoo sasa kwenye uhalisia ni kichekesho.Key board worriors wa JF bwana
 
Mkuu unafikiri hili haliwezekani? Katika nchi ya wajinga kama tulikokuwa na tunakoelekea haya ni mambo ya kawaida sana. Unafikiri viongozi wana hizi akili zako?
Wao wanajua wana mamlaka yote hivyo hawana cha kuogopa, hata baba anaweza akaambiwa asaidie mwanawe auwawe na baba asifanye kitu ikitokea mtoto kauwawa.
Akili ya kawaida tu ya mambo ya plottting yoyote ya assassination, waziri ampigie simu mke wa mbunge kumtaka afanye kitu fulani ili kuwezesha kitu fulani? Hapa nionacho ni lema ni dumb zaidi ya nilivyodhan
 
Simply aliyemfanyia haya Lissu cha moto anakiona maana walioenda ilikua nikutekeleza order tu, mtoa order aliumwa kimya kimya wakaficha kama walivyowaficha washambuliaji wa Lissu, aliumwa mpaka akafa bila hata dua njema, hii inadhiirisha Mungu yupo na kila jema na baya tunalofanya litahesabiwa na kutunukiwa au kuadhibiwa chaguo ni letu.

Lema anaweza kusema lolote na hana cha kupoteza. Lissu na dereva wake wanafahamu mpango wote wa lile shambulizi, nini kilipangwa n.k. Kwa vile unatengenezwa uongo watu wasiohusika wasingiziwe jambo inaonekana dereva hataweza kuwa consistent kwenye huo uongo pale akibanwa na wataalamu wa upelelezi. Ndio maana the last thing to be accepted na Lissu & Co ni kumruhusu dereva ahojiwe kuhusu tukio lile. Watatumia gharama kubwa mno mno kumficha popote ili mradi asihojiwe. Na ikishindikana kumficha nina uhakika watamuua na wasingizie watu wengine kuwa ndio waliomuua.
 
Ndio maana mama Samia aliwaambia akina Lema kuwa mwanausalama yeyote wa Tanzania asingeweza kushinda kumuua Lissu hata kwa risasi 3 tu, na ingetokea kibarua kingeisha siku hiyo! Sasa Lema eti ushirikiano anaombwa mke wake tena wa kuzima kamera na kuacha geti wazi na kufungia mbwa wote ndani! Tena maelekezo yanatokewa kwa njia ya simu ambayo kuirekodi hata mtoto wa chekechea anaweza!
Jamani kiswahili kigumu, aliyepigiwa simu ni mke wa Waziri Kalemani na si mke wa Lema,Kalemani na Lissu waliishi block 1 kutokana na nafasi zao kimamlaka,wakati Lema hakua na hadhi ya kupewa nyumba za serikali.

Anayetajwa kumpigia mke wake simu ni waziri. Waziri aliwasiliana na mke wake yeye kama yeye na siyo kuwasiliana na mke wa mtoa taarifa.
 
Lisu naye atakufa. Kwenye uchahuzi wa 2025 Lissu atakuwa amesha oza kwenye kaburi lake. Nakuahidi.
Kwani wewe ndio utakuwepo kenge wewe wazazi wako na ndugu zako nao watakuwa wameisha kufa uliishi kwa pumzi ya mwendazake zake umemwacha TL anaishi mnatapatapa pambafu.
 
Ukila
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
Ukila tunda hili hakika hautakufa shetani alisikika akisema,, yule mama alikula tunda ndo ulikuwa mwanxo wa kufa kwa mwanadamu ,, hivyo basi Kila nafsi itayaonja mauti ,, kila mwanadamu atakufa na kurud kwa mwumba kwa ajili ya kusubri hukumu Ahsante
 
Jamani kiswahili kigumu, aliyepigiwa simu ni mke wa Waziri Kalemani na si mke wa Lema,Kalemani na Lissu waliishi block 1 kutokana na nafasi zao kimamlaka,wakati Lema hakua na hadhi ya kupewa nyumba za serikali.

Anayetajwa kumpigia mke wake simu ni waziri. Waziri aliwasiliana na mke wake yeye kama yeye na siyo kuwasiliana na mke wa mtoa taarifa.

Kama ni hivyo huyo Lema yeye amejuaje kama siyo uongo mkubwa,yani Kalemani ampigie simu mke wake halafu Lema ndiyo atoe hiyo taarifa na iaminike kweli?
 
Inasikitisha sana kama hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
Mbona hii imo humu JF kwa miaka ! Lema alitamka haya bungeni mbele ya Spika na yako kwenye Hansard
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
Mkuu mm mwenyewe nimefurahi kukuona tena, hatujuani lakini nilisikitika sana kusoma lile bandiko lako la kutuaga.
na kuna watu huku walikuhusisha na P. Karugendo.
karibu sana tena.
 
Back
Top Bottom