Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Habari!

Sabaya kakiri kosa na kaachiwa huru.
Hili jambo liwe kwa wote na rasmi, lisiishie kwa watu maarufu na wanasiasa tu.
 
Hizi sinema zipo tanzania tu,tuna katiba lakin tumeifunika
 
Mangapi wewe unamkosea Mungu? Watu hukosea na hutubu wasamehewe Mungu husamehe.

Tunayaona makosa ya sabaya zaidi kuliko dhuluma zetu tunazozijua na kuzificha vifuani mwetu.

Usimpangie Mungu cha kufanya, hatujui anafahamu nini kuhusu Sabaya.
Wapi ametubu?
 
Na wezi ambao hawatajwi majina yao wala vyeo vyao wanaambiwa wampishe.
Yaani ni kama giza limesemeshwa
 
Aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amehukumiwa Kifungo cha Nje cha Mwaka mmoja baada ya kukiri makosa na kuomba mahakama imwangalie kwa jicho la huruma.

=======
Mfanyabiasha Alex Swai kaporwa shilingi milioni 50, mahakama inaamuru mshitakiwa amlipe mfanyabiashara Elibariki Swai shilingi milioni 5!!!
Mauzauza hoyee!!
 
USSR

Unaonyesha ulikua na TAGS na sabaya,
Ila for sure jamaa aliumiza sana watu wengi,
Ipo wazi ukiwa na wana Sheria wazuri wata kusaidia kushinda kesi Kwa kuangalia matobo ya kisheria katika kesi yako....

Ila
Karma iz bitch
Karma mbona haimrudii Mbowe kwa kumuondoa Chacha Wangwe?
 
Ni sawa akisema ameshinda hii ndio aibu ambayo serikali ilikuwa inaitaka kwa kuanzisha kesi kwa kufuata mihemko na hisia za watu wenye chuki.
 
Back
Top Bottom